Mkuu sijui nikupe balimi au burudaniTuwajue lini tena akati wanafahamika of course They know how to rap and hiphop in general kama walivoua kumi za maangamiz but ishu mafanikio sasa ya mziki wao hamna kikubwa walichonacho kumzidi yule aliyeshindwa kumi za maangamizi nick wa pili
Acha ungeseMzee mbona umeweka list ya Wavuta bange wenzio ukisema ni wafanya hip hop?!
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.
Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.
Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni
1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO
Mtakuja kuwajua tu.
One of the best, kajamaa flan akili mingiiiiiiiP the mc, jamaa namkubali sana naona siku hizi ameanza pata jina vizuri, hao wengine nawasiliza sana planet bongo
Ww ndio unaleta ungese kwa kulazimisha kikundi cha wavuta bange wawe rappers wazuri.Acha ungese
Wewe mwenyewe ni Nouma (mkatili)Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.
Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.
Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni
1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO
Mtakuja kuwajua tu.
Haaaa haaa haaaa![emoji121]
UPO NJE YA BITI!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Heeee![emoji121]
UPO NJE YA BITI!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Basi wewe rapper mzuriWw ndio unaleta ungese kwa kulazimisha kikundi cha wavuta bange wawe rappers wazuri.
We Vuta oxygen ropoka ka mbwa wa jeshiMkali mbwa, kama haiwalipi wakapige ndumba, hao wote wavuta bange, wanatakiwa wajipange...
Ova listi yko ni zero
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkali mbwa, kama haiwalipi wakapige ndumba, hao wote wavuta bange, wanatakiwa wajipange...
Ova listi yko ni zero
Mkuu hapo wengine ni rappers wazuri lakini wanaandika alafu wakiambiwa wafreestyle wanaingizia maneno ya kwenye nyimbo zao.So kwakua nyimbo zao bado hazijawa maarufu na wengine hawajarecord bado inakua vigumu kutambua, Mfano maarifa the big thinker.Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.
Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.
Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni
1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO
Mtakuja kuwajua tu.