Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Umemsahau jiwe la mweziHawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.
Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.
Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni
1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO
Mtakuja kuwajua tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Banza stone Ni mkali kuliko wote hapo
Tumeambiwa kuwa tupo nje ya beat kumbe ni wakali wa muziki wa "kufokafoka"Banza stone Ni mkali kuliko wote hapo
haaaaa haaaaa haaaaa kumbe ulinitangulia mkuu,kumbe Uzi wa magangstarTumeambiwa kuwa tupo nje ya beat kumbe ni wakali wa muziki wa "kufokafoka"