RAS DSM Dr Nguvila atangaza tarehe 23/09/2024 kuwa ni Siku ya Amani Duniani

RAS DSM Dr Nguvila atangaza tarehe 23/09/2024 kuwa ni Siku ya Amani Duniani

Kwaiyo kutakuwa na maandamano ya amani et?
 
DSM tunasherehekea 23 September 😄
Kwa hiyo wakati mataifa mengine wakiadhimisha siku hiyo leo wenye nchi wao wameona kwa Dar es Salaam badala ya kuadhimisha pamoja na wengine wao waadhimishe tarehe 23 Sept. Kwani kwa kufanya hivyo ndiyo kutawafanya watawale milele?
 
Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani

Source: Jambo TV

Ahsanteni Sana 😂🌹
Safi sana
Polisi walinde maandamano ya wananchi ambao tarehe hiyo wataandamana kupinga vitendo vya utekaji nyara na mauaji kwa raia
 
DSM tunasherehekea 23 September 😄
Naona wenye nchi yao wana Daresalama wameamua kuufyata na kuahirisha maadhimisho ya siku feki ya amani duniani kupisha maandamano (kama yatakuwepo kweli). Walikurupuka kutoa tamko.
 
Back
Top Bottom