RAS DSM Dr Nguvila atangaza tarehe 23/09/2024 kuwa ni Siku ya Amani Duniani

Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani

Source: Jambo TV

Ahsanteni Sana 😂🌹
Ana akili sana. Huyu ame-support haya maandamano ya amani. Anajua kabisa mauaji huyanayofanywa na Mafwele na kikundi chake yanaweza kufanya amani ikapotea.
 
Maadhimisho hayatakuwepo tena hiyo tarehe 23/9/2024 baada ya kugundua wamebugi. Hivyo kesho ni aidha maandamano vs amani au maandamano vs kichapo heavy.
 
Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani

Source: Jambo TV

Ahsanteni Sana 😂🌹
CCM ni mabingwa wa siasa duniani.

Ukijidai kujs kwa kujimwabafai wsnakutuliza kimwamba halafinqanakupiga nyundo ya lainiii.

Hii ni nyundo ya sufi kutoka kwa RAS.
 
Wahehe hawatakagi Ujinga

RC Mnyalu na RAS Mnyalu

Navalonge swela 🐼
 
CCM ni mabingwa wa siasa duniani.

Ukijidai kujs kwa kujimwabafai wsnakutuliza kimwamba halafinqanakupiga nyundo ya lainiii.

Hii ni nyundo ya sufi kutoka kwa RAS.
Dada umeitetea sana cc enu hukuwah kupata nafasi yoyote ...subiri vijora vipande bei akili itakukaa sawa
 
Alhamdlillah. Siyo CCM tu, TANU ilianzishwa nyumba ya tatu kutokea nyumba niliyozaliwa.
 
Kuelekea maandamano ya Chadema ya Jumatatu 23/09/2024 DSM kuna Ma-RC nao wanaenda DSM. Wanaenda DSM kufanya nini?
 
FB_IMG_1727027775609.jpg
 
Back
Top Bottom