johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ccm ni wajinga sana,sisi tutafanya maandamano ya amani!Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani
Source: Jambo TV
Ahsanteni Sana ππΉ
πππHata kuku anaetaga ana nafuu.
Tarehe/siku ya amani duniani uwa ni 21 Septemba au 23 Septemba?Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani
Source: Jambo TV
Ahsanteni Sana ππΉ
DSM tunasherehekea 23 September πTarehe/siku ya amani duniani uwa ni 21 Septemba au 23 Septemba?
Halafu ni Dr eti! Rubbish!Ccm ni wajinga sana,sisi tutafanya maandamano ya amani!
Kwa hiyo wakati mataifa mengine wakiadhimisha siku hiyo leo wenye nchi wao wameona kwa Dar es Salaam badala ya kuadhimisha pamoja na wengine wao waadhimishe tarehe 23 Sept. Kwani kwa kufanya hivyo ndiyo kutawafanya watawale milele?DSM tunasherehekea 23 September π
Na mitutu ya mitutu mitaani?Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani
Source: Jambo TV
Ahsanteni Sana ππΉ
Safi sanaKatibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani
Source: Jambo TV
Ahsanteni Sana ππΉ
Hivi tanzania ya leo kuna mjinga kama wewe?Hata kuku anaetaga ana nafuu.
Ni kupasua vichwa tuSasa ole wao CHADEMA walete mavurugu yao watakiona cha mtema kuni.
Ni lini walileta vurugu?Sasa ole wao CHADEMA walete mavurugu yao watakiona cha mtema kuni.
Naona wenye nchi yao wana Daresalama wameamua kuufyata na kuahirisha maadhimisho ya siku feki ya amani duniani kupisha maandamano (kama yatakuwepo kweli). Walikurupuka kutoa tamko.DSM tunasherehekea 23 September π