Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

Dah aisee asaidiwe huyu jamaa ana matatizo makubwa anahitaji usimamizi wa hali ya juu.
 
"wangapi hujistress hujiletea mapozi na hawajielewei" ndo huyu jamaa sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vitu vingine hata kuskiliza ni aibu. Mungu msaidie huyu kijana
 
Back
Top Bottom