Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyoteWana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
View attachment 3167065
Kwaiyo baada ya kudundwa na wanaume wakaenda kulipiza kisasi Kwa wanawake na watoto wasio na silaha?Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
View attachment 3167065
Palestina na Hamas hawajakatazwa kuwa marafiki wa Marekani na UKIsrael bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
Lieni msiba wa wa nyumbani kwanza ndipo muende kwa jirani. Nafikiri ni mda mwafaka kujadili utekaji tufanye nini. Hao Israel waache tutawakutaWana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
View attachment 3167065
Tambua kuwa hakuna Marekani pasipo jewishIsrael bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
Hakuna taifa lilodumu maisha yote likawa na nguvu, huanguka tu hio ndio historia ya duniaTambua kuwa hakuna Marekani pasipo jewish
jambo la kwanza, msemaji ni mjinga wa elimu, hajui maana ya genocide. kama hawawezi kufundishika basi just google it, au tafuta Genocide convention ya 1948, soma ujue maana ya genocide. the same wamekuwa wakisema al jazeera, wanaita vita ya Gaza ni genocide, lakini hakuna kosa la genocide limefanyika pale. makosa ambayo yanaweza kuwa yametendeka ni aidha war crime au crimes against humanity.Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
View attachment 3167065
sasa unachoshangaa nini? kwamba kwa umri wako ulikuwa unaamini kuna nchi yeyote duniani inajitegemea peke yake? upo karne gani? cha ajabu nini Israel kushirikiana na nchi zingine kwenye ulinzi na vita? enzi na enzi nchi zote zimeishi na washirika wake.Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
Kumbe? Hata majambazi watatu wakishirikiana kukutoa roho ni sawa tu. Maisha yote majambazi yanashurikiana kuiba na kuua watusasa unachoshangaa nini? kwamba kwa umri wako ulikuwa unaamini kuna nchi yeyote duniani inajitegemea peke yake? upo karne gani? cha ajabu nini Israel kushirikiana na nchi zingine kwenye ulinzi na vita? enzi na enzi nchi zote zimeishi na washirika wake.
Sheikh hiyo ni kawaida. Hezbollah wanategemea silaha toka Iran,Russia, Iraq n.k tunategemeana hapa Duniani. Russia vita yake na Ukraine wanapewa silaha na China, Korea na Iran imekuwa pia nayo inamwongezea ndo urafiki.Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
hakuna vita isiyokuwa na washirika. bushman pekee ataona ajabu Israel kushirikiana na mataifa mengine kupigana vita.Kumbe? Hata majambazi watatu wakishirikiana kukutoa roho ni sawa tu. Maisha yote majambazi yanashurikiana kuiba na kuua watu
Kijana wa mtaani akipigana na mwakinyo wakaenda round hadi ya mwisho ushindi ukaamuliwa kwa point kuwa mwakinyo kashinda, wewe wadhani kati ya hao wawili nani atapta sifa zaidi?Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
View attachment 3167065
Hamas na Hizb bila Iran, Urusi n.k ni wepesi kuliko manyoya.Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
Aliyeshinda sheikh wangu. Aliyeshinda ndo anapata ushindi.Kijana wa mtaani akipigana na mwakinyo wakaenda round hadi ya mwisho ushindi ukaamuliwa kwa point kuwa mwakinyo kashinda, wewe wadhani kati ya hao wawili nani atapta sifa zaidi?
Hata Tanzania dhidi ya Uganda kulikuwa na washirika kibao kila upandehakuna vita isiyokuwa na washirika. bushman pekee ataona ajabu Israel kushirikiana na mataifa mengine kupigana vita.