Rashid Khalidi: Mauaji yaliyofanyika Palestina ni mauaji ambayo hayakuwahi kutokea hapo kabla

Rashid Khalidi: Mauaji yaliyofanyika Palestina ni mauaji ambayo hayakuwahi kutokea hapo kabla

Hamas na Hizb bila Iran, Urusi n.k ni wepesi kuliko manyoya.
Cha ajabu Isreal kapewa silaha zote za dunia unazozijua weye huku hamas akinyimwa misaada yote ya dunia. Lkn majeshi ya Isreal bado yanateketea kila siku mwaka sasa
 
Na yale yaliyofanyika Israel pia hayakuwahi kufanyika wapi.....???

Kwa hiyo wa Israel walitakiwa watulie tu baada ya kufanyiwa unyama ule.....???

Hakuna mwenye haki ya kuondoa uhai wa mwingine....kama umeua watu wa wenzako na wa kwako watauwawa tu......

UNYAMA NI UNYAMA
 
Kijana wa mtaani akipigana na mwakinyo wakaenda round hadi ya mwisho ushindi ukaamuliwa kwa point kuwa mwakinyo kashinda, wewe wadhani kati ya hao wawili nani atapta sifa zaidi?
Aliyeshinda sheikh wangu. Aliyeshinda ndo mshindi
 
jambo la kwanza, msemaji ni mjinga wa elimu, hajui maana ya genocide. kama hawawezi kufundishika basi just google it, au tafuta Genocide convention ya 1948, soma ujue maana ya genocide. the same wamekuwa wakisema al jazeera, wanaita vita ya Gaza ni genocide, lakini hakuna kosa la genocide limefanyika pale. makosa ambayo yanaweza kuwa yametendeka ni aidha war crime au crimes against humanity.

Jambo la pili, Hata ICC juzi walipotoa arrest warrant kwa Netanyahu na waziri wake, hawakuona mazingira yeyote ya genocide, ndio maana walitoa warrant ya WAR CRIMES, na sio war crimes ya mauaji kinyume na sheria za vita, NO, waliona kwa sheria za vita hakuna kosa limetendeka, kwa maana ya mashambulizi. warrant waliyotoa ni war crimes kwa kigezo kwamba Netanyahu na wenzake walikuwa WANAZUIA CHAKULA KUWAFIKIA GAZA (kwa kipengele cha starving people), na waziri wa ulinzi alishawahi kutamka hilo hivyo ushahidi upo wazi, alisema atakata njia hakuna chakula kitaingia Gaza, na kweli alikata. ila hakuna genocide na hata crimes against humanity haipo kwa sababu kile eneo israel alikuwa anapiga, alikuwa analenga palipo na hamas, na upo ushahidi kwamba wengi wamekufa kwa sababu walikuwa wanatumia raia kama shield jambo ambalo ni justifiable kisheria. sawa na jirani yako amekusanya watoto wamemzunguka alafu anarusha risasi kwako, anaua watoto wako, na anafanya hivyo akijua wewe hautajirudishia kwa kuogopa kuua watoto waliomzunguka. Je? utaacha kurusha risasi alipo ili uendelee uumia au utapiga tu kama atakufa na watoto sawa ili na wewe watoto wako waliobaki wapone. akili ya kawaida tu hata haihitaji kwenda shule.
Subili yaje yabishe! Utasikia "Israel inauwa wanawake na watoto" Sasa tunajiuliza tangu vita ianze Israel hajawahi kuuwa Hamas hata mmoja? Na kama aliwahi kuuwa aliwauwa wakiwa kwenye kambi zao za kijeshi au aliwauwa wakiwa miongoni mwa raia?
 
Nyakati za kiza usilinganishe na sasa, nyakati nwatu walikuwa wakipigana kwa kufatana sio za sasa unapigwa na mtu yuko maelfu ya maili akiwa kwenye kiti. tutolee mahistoria mfu hapa
Hata Manchester united wakifunga magoli ya mbali na dakika 90, hivi sasa timu mbovu kabisa
 
Hata Manchester united wakifunga magoli ya mbali na dakika 90, hivi sasa timu mbovu kabisa
Tuendelee kusubiri sheikh wangu. Na tumuombe mola atusaidie maana hali imekuwa tofauti kwa sasa. Tutakuja shinda tu inshalah huko mbeleni kwa sasa tujipange.hawa wendawazimu wamefanya mauaji ya kimbali. Laana kum kabisa.
 
Tuendelee kusubiri sheikh wangu. Na tumuombe mola atusaidie maana hali imekuwa tofauti kwa sasa. Tutakuja shinda tu inshalah huko mbeleni kwa sasa tujipange.hawa wendawazimu wamefanya mauaji ya kimbali. Laana kum kabisa.
Wamepata shida kuliko mswahaba?
 
Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
Ndugu yangu, hapa wanaongelea habari ya mauaji ya Israel kwa Palestine. Hawa wapalestina ni watoto wa Mungu kama ilivyo kwa wayahudi.

Ni shida kushindwa luelewana na kuishi pamoja.
 
Back
Top Bottom