Rashid Khalidi: Mauaji yaliyofanyika Palestina ni mauaji ambayo hayakuwahi kutokea hapo kabla

Rashid Khalidi: Mauaji yaliyofanyika Palestina ni mauaji ambayo hayakuwahi kutokea hapo kabla

Underdog kumtoa ngeu anayedaiwa ni the most elite army, intelligence, with sophisticated powerful weapons ndilo linafurahisha.

Usisahau Nasrallah na Haniye na Sinwar hawapo.
 
Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyo
Mfuti, Kabla Israel hajalipiza kisasi, mlosema..! Israel ajaribu kirusha hata jiwe Iran kama hajafutwa

Leo tuna miezi miwili imepita baada ya IDF kuimung'unyua mitambo yote yenye uwezo wa kurusha makombora huko Iran na yuko kimya kama mhogo uliozindikwa
 
Na yale yaliyofanyika Israel pia hayakuwahi kufanyika wapi.....???

Kwa hiyo wa Israel walitakiwa watulie tu baada ya kufanyiwa unyama ule.....???

Hakuna mwenye haki ya kuondoa uhai wa mwingine....kama umeua watu wa wenzako na wa kwako watauwawa tu......

UNYAMA NI UNYAMA
kumbuka wapalestina wamekuwa wakiuwawa na kukaliwa kimabavu miaka mingi na Israel kabla hata ya oct 7th!
 
Kijana wa mtaani akipigana na mwakinyo wakaenda round hadi ya mwisho ushindi ukaamuliwa kwa point kuwa mwakinyo kashinda, wewe wadhani kati ya hao wawili nani atapta sifa zaidi?
Kwahiyo kumbe Hamas walikua wanatafuta SIFA tu
Basi acha waendelee kupatiwa hizo sifa kwa kichapo
 
Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.

View attachment 3167065
Attach files
Tatizo ni hamas kuishambulia Israel hivyo wanavuna walichopanda.vita ni mbaya pia ni upuuzi kuwashabikia hamas kwamba ati wana nguvu kijeshi.ni kujidanganya tu tuziombee hizo ziache vita.
 
Hiyo haiwapi haki ya kuwaua wenzao alafu wakilipiziwa wana play victims
kwahiyo walitakiwa watulie tu waemdelee kuuwawa?Kwa mtizamo huo,South Africa mpaka leo ingekuwa inatawaliwa na wakoloni kimabavu!
 
Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.

View attachment 3167065
Habari ikiwa na chanzo chake ni Aljazeera ni ya kupuuza sababu Qatar ipo vitani na Israel war of the words shame kabisa
 
Habari ikiwa na chanzo chake ni Aljazeera ni ya kupuuza sababu Qatar ipo vitani na Israel war of the words shame kabisa
Sijakuelewa kabisa sheikh wangu. Unataka niipuuze al jazeera? Unafaham ni miaka mingapi mi nafuatilia al jazee? Aiseee.....
 
Back
Top Bottom