Rashid Khalidi: Mauaji yaliyofanyika Palestina ni mauaji ambayo hayakuwahi kutokea hapo kabla

Hamas na Hizb bila Iran, Urusi n.k ni wepesi kuliko manyoya.
Cha ajabu Isreal kapewa silaha zote za dunia unazozijua weye huku hamas akinyimwa misaada yote ya dunia. Lkn majeshi ya Isreal bado yanateketea kila siku mwaka sasa
 
Na yale yaliyofanyika Israel pia hayakuwahi kufanyika wapi.....???

Kwa hiyo wa Israel walitakiwa watulie tu baada ya kufanyiwa unyama ule.....???

Hakuna mwenye haki ya kuondoa uhai wa mwingine....kama umeua watu wa wenzako na wa kwako watauwawa tu......

UNYAMA NI UNYAMA
 
Kijana wa mtaani akipigana na mwakinyo wakaenda round hadi ya mwisho ushindi ukaamuliwa kwa point kuwa mwakinyo kashinda, wewe wadhani kati ya hao wawili nani atapta sifa zaidi?
Aliyeshinda sheikh wangu. Aliyeshinda ndo mshindi
 
Subili yaje yabishe! Utasikia "Israel inauwa wanawake na watoto" Sasa tunajiuliza tangu vita ianze Israel hajawahi kuuwa Hamas hata mmoja? Na kama aliwahi kuuwa aliwauwa wakiwa kwenye kambi zao za kijeshi au aliwauwa wakiwa miongoni mwa raia?
 
Nyakati za kiza usilinganishe na sasa, nyakati nwatu walikuwa wakipigana kwa kufatana sio za sasa unapigwa na mtu yuko maelfu ya maili akiwa kwenye kiti. tutolee mahistoria mfu hapa
Hata Manchester united wakifunga magoli ya mbali na dakika 90, hivi sasa timu mbovu kabisa
 
Hata Manchester united wakifunga magoli ya mbali na dakika 90, hivi sasa timu mbovu kabisa
Tuendelee kusubiri sheikh wangu. Na tumuombe mola atusaidie maana hali imekuwa tofauti kwa sasa. Tutakuja shinda tu inshalah huko mbeleni kwa sasa tujipange.hawa wendawazimu wamefanya mauaji ya kimbali. Laana kum kabisa.
 
Tuendelee kusubiri sheikh wangu. Na tumuombe mola atusaidie maana hali imekuwa tofauti kwa sasa. Tutakuja shinda tu inshalah huko mbeleni kwa sasa tujipange.hawa wendawazimu wamefanya mauaji ya kimbali. Laana kum kabisa.
Wamepata shida kuliko mswahaba?
 
Israel bila marekani bila nato bila UK ni sawa na mgonjwa wa kisukari hana nguvu yoyote
Ndugu yangu, hapa wanaongelea habari ya mauaji ya Israel kwa Palestine. Hawa wapalestina ni watoto wa Mungu kama ilivyo kwa wayahudi.

Ni shida kushindwa luelewana na kuishi pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…