Unajua hata mimi nilikuwa sijaamini, nilipoona video ndo nikaamini kabisa. Dah! Maisha haya!!!Mkuu kama tuko pamoja hivi!naona kama nimtu anaefanana nae tu!
Ngoja nisiweke nukta yadunia ni mengi.
ndo anakoelekea chidi benzinooooNamkumbuka langa kileo aliwahi kuimba kifo,jela au mataasisi ndio mwisho wa uteja hilo halina ubishi
Kwani alimfanyaje??Akamwombe tu Mh. Lowasa msamaha!!
Kama wapo wakubwaHivi kwao hakuna wakubwa au ndio yeye mkubwa?....
Kanisani huwezi kutibuKwa kweli vinatisha. ..lakini uzuri wake hawagawi viroba kanisani. ..kwa hiyo akikaa hapo itakuwa ni msosi na maji na soda tu. ...Kuna wagonjwa wengi wamehamia kanisani haswa namshauri aende SILOAM. ..
Unavyodhani polisi hawawajui mapushaSERIKALI ISIMDEKEZE CHID BENZ AU RAY C. WAKAMATWE ASWEKWE CELLO.
HUKO WATAONESHA WANAPO NUNUA HIZO NGADA NA ATAACHA AKISWEKWA MIAKA 3 KWA KOSA LA MADAWA YA KULEVYA!
NA WENGINE WATAOGOPA.