Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Regardless, doesn't matter what or how at this point.....he's gone,
respect his legacy and let it be.
 
Hatuombeani mabaya lakini kwa steji hii akicheza tu watu wanakula ubwabwa
 
dying is the highest stage of struggling,where your son can start-Andrey Godfrey
 
Ujanja ukizidi sana baadae unaelekea kwenye ushoga wa starehe ndo kama yaliyompata Chid Vitz
 
Kalapina na Babu Tale Msaidieni Kijana Mwenzenu Rashid Makwiro,Najua mlijitoa hawali lakini tambueni chud siyo akili yake hiyo ni nguvu ya madawa ndio inayomfanya hivyo mpelekeni Rehab na akae si chini ya miaka miwili,najua watu mkitoa namba ya michango watu watatoa kumsaidia CHi chi chi chid Benz La Familiiiiaaaaaa Ilalaaa Ilaaaaaaa Mikono Mfululu yani pa papa papa wamekaaaaaaaaaaaaaaaa.

Chid Before.
CHID.jpg


Chid After
Chid A.jpg


 

Attachments

Kwa kweli vinatisha. ..lakini uzuri wake hawagawi viroba kanisani. ..kwa hiyo akikaa hapo itakuwa ni msosi na maji na soda tu. ...Kuna wagonjwa wengi wamehamia kanisani haswa namshauri aende SILOAM. ..
Kanisani huwezi kutibu

Sober house wanaachishwa kidogo kidogo

Kanisani atapata arosto na ndani ya masaa 24 atatoroka tu na kufanya fujo

Sober ndio kwenye matibabu ..lkn mpk awe tayari mwwnyewe kuacha
 
SERIKALI ISIMDEKEZE CHID BENZ AU RAY C. WAKAMATWE ASWEKWE CELLO.
HUKO WATAONESHA WANAPO NUNUA HIZO NGADA NA ATAACHA AKISWEKWA MIAKA 3 KWA KOSA LA MADAWA YA KULEVYA!
NA WENGINE WATAOGOPA.
Unavyodhani polisi hawawajui mapusha


Hawa pusha wanauza kete 2000 labda saizi ipande bei ,hawafahamiki ??polisi wanawajua

Hawa druglords wanafahamika..kwann chid akamatwe awataje mapusha wake wakati kitaani wanajulikana na central wanajua
 
Sio la kufa alisiki dawa.
Mungu msaidie Kijana wenzetu.
 
Back
Top Bottom