Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
bandage kaumiaIle nyeupe mkonono ni nini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bandage kaumiaIle nyeupe mkonono ni nini???
Juz kat alikuwa anapelekwa sobar akakimbia na bodaboda dat y nachekaUsicheke mzee haya mambo hayana mwenyewe, hata kama halitakuwa la mtindo huu, kinachotakiwa ni kuombeana, lakini inasikitisha sana.
Nenda Insta kaifuate hiyo video ujionee sio unakaa unabisha bisha vitu usivyovijua...Niende Insta nifuate nn? Iweke wewe si ndo uliyeiona?
Sio lookalike brother..kuna video moja inatembea huko ig...akiwa na nguo hz hz na hy bandage hapo mkonon...anajifanya kutoa mistar...hapo mwanzo hata mm nilidhan ni lookalikeDuh, huyu ni looklike atakuwa, kama kawa wabongo wameingia mazima na comments zao.
Ndio Likuwa amepangiwa Itumbi hotel magomeni elf 30 kwa siku na babu tale, analipiwa kula na kulala bure.,alikuja kutimuliwa hotelini sababu ya uchafi chumbani na utumiaji wa madawa chumbani, ukorofi kwa wateja wengine na wahudumu wa hotel..Mara ya mwisho niliskia alikodisha chumba kwenye hotel kama sio gest ili apige sembe lake bila bugudha yoyote.....Watumiaji wanaumia wauzaji wanazidi kunenepa
Hii statehe ya madawa ni kama sex, kuacha ama kujizuia ni kazi
Nenda ig...kwenye page ya somebody katib wa umbea...utaona video yake..Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Ili iwaje aiweke hapa au ili ww uamin .....Niende Insta nifuate nn? Iweke wewe si ndo uliyeiona?
amchafue ili apate nnimekuaje tena mbona kachoka sana chidy benzi.au mnachafua mtoa mada Habari kamiri inaitajika
Unabishana nini na mtu asiyejuaNenda Insta kaifuate hiyo video ujionee sio unakaa unabisha bisha vitu usivyovijua...
Ile video ipo mitandaoni toka juzi inashangazaa mtu unakuja Leo na kuamua kubisha.
Muda mwingine unakaa kimya kuficha ujinga wako au unachunguza kwanza hata Google kabla ujaamua kuleta ujuha wako wa kubisha usivyojua.
Sijui ataenda kanisa lipi maana mengine ndio hayo wachungaji wake wanakutwa na konyagi, wanatukana majirani, wanachuria waandishi wa habari watakufa hadi kufikia Machi, 2017.............Simjui hata nyimbo zake sizijui. ..lakini ukimtafuta kwa bidii utampata tu. ..huyu ni wakuhamishiwa kanisani. .yaani aishi huko kwa mwaka mzima. ..hakika atapona tu...nakutakia kila la kheri pastor achachanda
Kwa kweli vinatisha. ..lakini uzuri wake hawagawi viroba kanisani. ..kwa hiyo akikaa hapo itakuwa ni msosi na maji na soda tu. ...Kuna wagonjwa wengi wamehamia kanisani haswa namshauri aende SILOAM. ..Sijui ataenda kanisa lipi maana mengine ndio hayo wachungaji wake wanakutwa na konyagi, wanatukana majirani, wanachuria waandishi wa habari watakufa hadi kufikia Machi, 2017.............
AKIAMUA anaweza kuacha. Kuna bwana mdogo namfahamu alikuwa teja mpaka akapelekwa SOBER HOUSE. Aliporudi aliamua yeye mwenyewe kuacha. Alianza kusoma na Mwaka jana kafanya QT ya Kidato cha Pili na amefaulu, 2017 atafanya Mtihani wa Kidato cha Nne.Naskiaga Uteja ni Kama Ushoga hata Likizo wakienda ya Siku 28 hawamalizi wanawahi kurudi kazini
Wewe ndio utakuwa pusha wake ndio maana unamtetea AU itakuwa hata Chid Mwenyewe humjui zaidi YA kumuona kwenye TV.
Uliiona ile video alioweka Solo Thang juzi Instagram?!
Nenda kaitazame alafu urudi kubishana hapa.