Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Ha ha ha mm naboreka sn kusikia Chid kapelekwa Soba House katoka karudia tena!
Ni bora na yy apelekwe gerezani.
Ah chidi Hana makosa kwa hilo ila yule aliyesaidiwa na raisi kwa pesa za wananchi halafu akarudia tena ananipa hasira Sana

Mbona q chief kaacha mazima maamuzi tu
 
Unga ni hatari, chid benz dunia imekuhadaa. Hili ni funzo Na mfano halisi wa neno Maisha
 
ca1e448db42c696da16711ea3ca1d920.jpg
2b3adea7e48c76893a607c287cd3b48f.jpg
5508b0230bc9ba008b8938027ee661bd.jpg
Sio mwenyewe acha kuzuga. Huyo wanafanana tu, chidi yuko fresh kama kawa. Nilimuona juzi mitaa ya kwa Manyanya, yuko poa. Si hivyo
 
SERIKALI ISIMDEKEZE CHID BENZ AU RAY C. WAKAMATWE ASWEKWE CELLO.
HUKO WATAONESHA WANAPO NUNUA HIZO NGADA NA ATAACHA AKISWEKWA MIAKA 3 KWA KOSA LA MADAWA YA KULEVYA!
NA WENGINE WATAOGOPA.
Inamaana we mpaka Leo ujajua kuwa wanaopiga vita madawa ndio wanaoyauza?!
 
mtoto wa ilala huyo. mtoto wa mujini huyo. na huo ndio ujanja wenyewe
 
Sio mwenyewe acha kuzuga. Huyo wanafanana tu, chidi yuko fresh kama kawa. Nilimuona juzi mitaa ya kwa Manyanya, yuko poa. Si hivyo
Wewe ndio utakuwa pusha wake ndio maana unamtetea AU itakuwa hata Chid Mwenyewe humjui zaidi YA kumuona kwenye TV.

Uliiona ile video alioweka Solo Thang juzi Instagram?!

Nenda kaitazame alafu urudi kubishana hapa.
 
Niende Insta nifuate nn? Iweke wewe si ndo uliyeiona?
 
Chid unajiroga mwenyewe unajiteketeza mwenyewe kwa mikono yako duh!
 
Nnaemuonea huruma ni mama ake najua anaumia Sana mpka kukosa usingizi chid muonee huruma hata mama ako usimlize Jamani

Anahitaji msaada wa kiroho mlioguswa msisite kumsaidia.
Ungemjua mamake chid usingemuhurumia kbs inawezekana siku za mwanzo alikua anamnunulia kabisa hakujua mambo yatakua hivi
 
Back
Top Bottom