shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
Hiyo vita haijawai kuwepo na haitakuwepo.Hivi kama Chidi kwa afya ile anajua pa kununua madawa, polisi kweli hawajui anayeuza? Tanzania hakuna vita dhidi ya madawa ya kulevya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo vita haijawai kuwepo na haitakuwepo.Hivi kama Chidi kwa afya ile anajua pa kununua madawa, polisi kweli hawajui anayeuza? Tanzania hakuna vita dhidi ya madawa ya kulevya!
Utamsaidia mtu asie taka kusaidiwa alipelekwa rehab akatorokaMuda wa kufichana kweli umepita ni vizuri sana kuambiana ukweli BUT ni kwamba hakuna namna kabisa ya kumsaidia??!
Chid Benz alikuwa sober house kwa ajili ya kumsaidia ili aondokane na hili janga la madawa ya kulevya
maskini Chid wa watu tangu aingie sober house sijui hata kama miezi miwili ilifika
kwa tamaa za pesa watu wakachangamkia fursa kwa kumtoa kule sober na kumleta uraiani ambapo unga unapatika kwa bei rahisi
watu wamepiga pesa msanii wetu kapotea tena daaah this is not fair
mungu ni wetu sote, happy new year
Hizi imani zingine zimekuwa kama upofu,Tatizo sio mwanasaikolojia. Hivi eddo anahisi rehab hazina wanasaikolojia????
Huyo chidi anahitaji kukutana na Yesu Kristo ambadlishe just like he did to TERRY FANANI WA HBC
Hahahahahahaha! Aisee sijajua kuwa wewe ni dada au kaka,lakini naona umeandika kwa hasira na mood za kuwachoka sana! Aisee Ukifanya ivo unawaua wote! Hatobaki hata mmoja..!!hawa mateja kuwapeleka rehabu sijui wapi huko ni kupoteza pesa tu.
dawa ni kuchukua wote aina ya chidi,peleka jera huko.wakae huko hadi akili ziwarudie,wanasemaga arost sijui nn huko.hata walie na kutoka povu hakuna kuwapa dawa.akianza kulia ni kupeleka shamba akalime huko chapa sana viboko.
kama arosto inaua acha wafe,watakao baki watajifunza kitu
Mshaanza kutafuta wachawi?Chid Benz alikuwa sober house kwa ajili ya kumsaidia ili aondokane na hili janga la madawa ya kulevya