Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

kushindwa kujipanga ni kujipanga kushindwa[b/]
chidi alishindwa kujipanga... ndio matokeo ya maisha yake kwa sasa...
 
Chid Benz kingkong wanakubali kiaina....acha ngoma itambaeee
 
Heroin inabidi utumie kama una maisha mazuri na usimamizi mzuri baasi.......
 
Nasikia uko sober house alitoroka akasema hawajui kutibu mateja na alitaka Tale na Pina wawe wanaenda kumsalimu kila siku. Ata aliporudi mtaani walimchukua tena wampeleke sober house nyingine akatorokea wakiwa njiani. Sidhani Kama tunapaswa kuwalaumu waliojaribu kumuokoa huyu mchizi, maybe anakula jeuri yake.
 
!
!
Hawa ndio wale wajanja wa shule enzi hizo, waliokuwa wanabamba na walimu, kuwatukana au hata kuwapiga......Sasa kuna visubtopic hawakuvielewa ndio madhara yake. Akiendelea bila kutubu atarest in Peace tu kwani nini bwana kwanza makaburi tuliyakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…