Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

kushindwa kujipanga ni kujipanga kushindwa[b/]
chidi alishindwa kujipanga... ndio matokeo ya maisha yake kwa sasa...
 
Hapo yuko vizuri lkn naona hawajafanana kabisa
IMG-20161230-WA0003.jpg
IMG-20161230-WA0001.jpg
IMG-20161230-WA0002.jpg
 
Chid Benz kingkong wanakubali kiaina....acha ngoma itambaeee
 
Heroin inabidi utumie kama una maisha mazuri na usimamizi mzuri baasi.......
 
Kalapina na Babu Tale Msaidieni Kijana Mwenzenu Rashid Makwiro,Najua mlijitoa hawali lakini tambueni chud siyo akili yake hiyo ni nguvu ya madawa ndio inayomfanya hivyo mpelekeni Rehab na akae si chini ya miaka miwili,najua watu mkitoa namba ya michango watu watatoa kumsaidia CHi chi chi chid Benz La Familiiiiaaaaaa Ilalaaa Ilaaaaaaa Mikono Mfululu yani pa papa papa wamekaaaaaaaaaaaaaaaa.

Chid Before.
View attachment 452129

Chid After
View attachment 452133

Nasikia uko sober house alitoroka akasema hawajui kutibu mateja na alitaka Tale na Pina wawe wanaenda kumsalimu kila siku. Ata aliporudi mtaani walimchukua tena wampeleke sober house nyingine akatorokea wakiwa njiani. Sidhani Kama tunapaswa kuwalaumu waliojaribu kumuokoa huyu mchizi, maybe anakula jeuri yake.
 
!
!
Hawa ndio wale wajanja wa shule enzi hizo, waliokuwa wanabamba na walimu, kuwatukana au hata kuwapiga......Sasa kuna visubtopic hawakuvielewa ndio madhara yake. Akiendelea bila kutubu atarest in Peace tu kwani nini bwana kwanza makaburi tuliyakuta.
 
Back
Top Bottom