mtoto wa mjin
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 589
- 566
Wanasema utamu wake...ni sawa na utam wa bao ukae nusu saa.....[HASHTAG]#usijaribu[/HASHTAG]Mara ya mwisho niliskia alikodisha chumba kwenye hotel kama sio gest ili apige sembe lake bila bugudha yoyote.....Watumiaji wanaumia wauzaji wanazidi kunenepa
Hii statehe ya madawa ni kama sex, kuacha ama kujizuia ni kazi
Nisaidieni namba yake ya simu nimsaidie kirohoKapigwa mapepo. ..ashinde makanisani tu...
Simjui hata nyimbo zake sizijui. ..lakini ukimtafuta kwa bidii utampata tu. ..huyu ni wakuhamishiwa kanisani. .yaani aishi huko kwa mwaka mzima. ..hakika atapona tu...nakutakia kila la kheri pastor achachandaNisaidieni namba yake ya simu nimsaidie kiroho
Acha Unafiki,humjui wala hujawahi kusikia nyimbo zake?Simjui hata nyimbo zake sizijui. ..lakini ukimtafuta kwa bidii utampata tu. ..huyu ni wakuhamishiwa kanisani. .yaani aishi huko kwa mwaka mzima. ..hakika atapona tu...nakutakia kila la kheri pastor achachanda
Noma sana tena sana,ndo basi tena huyu kashakua teja tipiko!
Aisee,Kila mtu atavuna alichopanda pia kila mtu atazikwa kaburini peke yake
Chid ni mtu mzima anajua afanyalo.....ndiyo maisha aliyojichagulia
Binafsi wala simuonei huduma
Tujifunzo kuyaheshimu maisha
Ile ishu ya kusaidiwa na WCB pamoja na Babu Tale ilikuwa ni ya kweliAisee,
Samahani. Kuna kipindi nilisikia sijui kapelekwa kwenye taasisi na amerejea kwenye hali yake ya kawaida na pia akawa anashirikiana na wcb sijui kuhusu issue za muaic
Nikaona na pjcha kabisa zikawekwa. Sasa imekuaje gena amekua hivi?
Dah aisee, mbaya sana hio inasikitisha.Ile ishu ya kusaidiwa na WCB pamoja na Babu Tale ilikuwa ni ya kweli
Hajarudia madawa ghafla alipotoka Sober House aliendelea kubwia kwa usiri ila now ndo yamemkolea ndiyo maana mambo hadharani......Nina rafiki zangu wengi tu mateja mbele ya unga hakuna usupastaa
Babu Tale now kasema hatamsaidia wala kuhangaika nae
Lini hio ilikua?Waliomuua Chidi Benzi ni wale waliomsaidia kwenye kesi yake ya kukamatwa na cocaine Airport. Wangemuacha akakae jela hata miaka 3
Sex na sembe kweli ni vitu vya kulinganisha,umemuona nani hakiri yake imepuyanga kwa sababu ya sexMara ya mwisho niliskia alikodisha chumba kwenye hotel kama sio gest ili apige sembe lake bila bugudha yoyote.....Watumiaji wanaumia wauzaji wanazidi kunenepa
Hii statehe ya madawa ni kama sex, kuacha ama kujizuia ni kazi
ukiamua unaweza acha chochote kwa msaada wa MunguMara ya mwisho niliskia alikodisha chumba kwenye hotel kama sio gest ili apige sembe lake bila bugudha yoyote.....Watumiaji wanaumia wauzaji wanazidi kunenepa
Hii statehe ya madawa ni kama sex, kuacha ama kujizuia ni kazi
Kama sio mwanzoni mwa mwaka huu basi mwaka jana, alikuwa anaenda ktk shoo mbeya kama kumbukumbu yangu ipo sahihi, akadakwa na dawa pale dar airport. Nadhani kuna wadau walifanya wawezavyo kumuondosha ktk kadhia ileLini hio ilikua?
yan ungekuwa Mtoa roho kesi kama hz zngekuwa umezsahau! umetisha mkuumwisho wa watumiaji wa madawa ya kulevya huwa ni mmoja! Jela,kwenye mataasisi na Kifo"_ Chidi ,Jela tayari, mataasisi tayari(sober House) sasa anachotaka kupata ni Kifo!