Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Mara ya mwisho niliskia alikodisha chumba kwenye hotel kama sio gest ili apige sembe lake bila bugudha yoyote.....Watumiaji wanaumia wauzaji wanazidi kunenepa

Hii statehe ya madawa ni kama sex, kuacha ama kujizuia ni kazi
Wanasema utamu wake...ni sawa na utam wa bao ukae nusu saa.....[HASHTAG]#usijaribu[/HASHTAG]
 
Simjui hata nyimbo zake sizijui. ..lakini ukimtafuta kwa bidii utampata tu. ..huyu ni wakuhamishiwa kanisani. .yaani aishi huko kwa mwaka mzima. ..hakika atapona tu...nakutakia kila la kheri pastor achachanda
Acha Unafiki,humjui wala hujawahi kusikia nyimbo zake?
 
ca1e448db42c696da16711ea3ca1d920.jpg
2b3adea7e48c76893a607c287cd3b48f.jpg
5508b0230bc9ba008b8938027ee661bd.jpg
Noma sana tena sana,ndo basi tena huyu kashakua teja tipiko!
 
Ila mimi nawasiwasi hawa wasanii wanalogana maana si kawaida,unajua huyu jamaa ukikutana naye mitaa ya kinondoni unaweza sema kichaa
 
Kila mtu atavuna alichopanda pia kila mtu atazikwa kaburini peke yake
Chid ni mtu mzima anajua afanyalo.....ndiyo maisha aliyojichagulia
Binafsi wala simuonei huduma

Tujifunzo kuyaheshimu maisha
Aisee,

Samahani. Kuna kipindi nilisikia sijui kapelekwa kwenye taasisi na amerejea kwenye hali yake ya kawaida na pia akawa anashirikiana na wcb sijui kuhusu issue za muaic

Nikaona na pjcha kabisa zikawekwa. Sasa imekuaje gena amekua hivi?
 
Ile ishu ya kusaidiwa na WCB pamoja na Babu Tale ilikuwa ni ya kweli

Hajarudia madawa ghafla alipotoka Sober House aliendelea kubwia kwa usiri ila now ndo yamemkolea ndiyo maana mambo hadharani......Nina rafiki zangu wengi tu mateja mbele ya unga hakuna usupastaa

Babu Tale now kasema hatamsaidia wala kuhangaika nae
 
Dah aisee, mbaya sana hio inasikitisha.

Pole kwa familia yake.
 
Mara ya mwisho niliskia alikodisha chumba kwenye hotel kama sio gest ili apige sembe lake bila bugudha yoyote.....Watumiaji wanaumia wauzaji wanazidi kunenepa

Hii statehe ya madawa ni kama sex, kuacha ama kujizuia ni kazi
Sex na sembe kweli ni vitu vya kulinganisha,umemuona nani hakiri yake imepuyanga kwa sababu ya sex
 
mwisho wa watumiaji wa madawa ya kulevya huwa ni mmoja! Jela,kwenye mataasisi na Kifo"_ Chidi ,Jela tayari, mataasisi tayari(sober House) sasa anachotaka kupata ni Kifo!
yan ungekuwa Mtoa roho kesi kama hz zngekuwa umezsahau! umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom