Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Ila mimi nawasiwasi hawa wasanii wanalogana maana si kawaida,unajua huyu jamaa ukikutana naye mitaa ya kinondoni unaweza sema kichaa
Mbona watu mnajaribu kutafuta kila aina ya excuse ili ionekane hawa wasanii mateja wanaonewa/kulogwa!!! Hamna kuloga hapo wala nini.. Hayo ni maamuzi yao tena waliyafanya wakiwa watu wazima.
 
Ngada ni habari nyingine hakuna namna amrudie muumba fasta bado anapumzi tofauti na hapo clouds watanza kupiga nyimbo zake tukimkumbuka
 
Inasikitisha sana usiombe awe kaka ako utahisi kufaaaa.Jamani ee mungu baba msaidie huyu mwanao.
Pia msaidie na mama yake huko aliko, maanake kumwona mtoto wako akiwa ktk hali hii unaweza kufa kwa BP.
Jamani vijana wenzangu tusishawishike na tamaa za muda.matatizo duniani yako lakini suluhisho sio ulevi (wa aina yeyote)
Mungu baba wewe ni muweza wa yote...msaidie huyu kaka.
 
Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
 
[emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…