Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Noma sana. Pole kwa familia, jamaa na mashabiki wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona watu mnajaribu kutafuta kila aina ya excuse ili ionekane hawa wasanii mateja wanaonewa/kulogwa!!! Hamna kuloga hapo wala nini.. Hayo ni maamuzi yao tena waliyafanya wakiwa watu wazima.Ila mimi nawasiwasi hawa wasanii wanalogana maana si kawaida,unajua huyu jamaa ukikutana naye mitaa ya kinondoni unaweza sema kichaa
Waliomuua Chidi Benzi ni wale waliomsaidia kwenye kesi yake ya kukamatwa na cocaine Airport. Wangemuacha akakae jela hata miaka 3
Ni yeye mkuu,kuna video solo thang kapost akiwa naye,na ndo huko hizo picha zilikotokaWabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Sasa ndoto imegeuka yy anataka kuwa kama wwMaisha yanaenda kasi sana... Dah Chidy Benz nilipokuwa nangalia kile kipindi chake EATV nilikuwa na ndoto ya kuwa kama yeye