Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Wewe ndio mbishi nenda mitaa ya Kino manyanya to Mwanamboka unamuona na nguo hizo hizo na bandage yake mkononi nimemuona siku kama 3 zilizopita au unabisha hii uthibitishiwe?
 
Kila mtu atavuna alichopanda pia kila mtu atazikwa kaburini peke yake
Chid ni mtu mzima anajua afanyalo.....ndiyo maisha aliyojichagulia
Binafsi wala simuonei huduma

Tujifunzo kuyaheshimu maisha
Kweli ndo anachokivuna ..sema inauma kinoma
 
Mikono mvururu yaani paah...paah!!!
 
Mkono Mfululu chini wamekaaa!papapah papapah wamekaaa...kakalishwa yeye na ngada!dah
 
chanzo kikubwa cha utumiaji wa madawa na ushoga ni pale unapokuwa unasafirisha yaani punda!sababu ya pili ni kujaribu kuyaonja ili umridhishe mwanamke maana ukila ngada unakuwa si mchezo shida inakuja gari likishawaka kulizima ndio hivyo inakuwa ngumu kama mr chid
 
Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
ndio yeye,nenda youtube kuna video yuko na solo thang,afu kavaa tshirt hiyo hiyo kama kwenye picha hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…