Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Kapata tulizo la moyo wake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mbishi nenda mitaa ya Kino manyanya to Mwanamboka unamuona na nguo hizo hizo na bandage yake mkononi nimemuona siku kama 3 zilizopita au unabisha hii uthibitishiwe?Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Kweli ndo anachokivuna ..sema inauma kinomaKila mtu atavuna alichopanda pia kila mtu atazikwa kaburini peke yake
Chid ni mtu mzima anajua afanyalo.....ndiyo maisha aliyojichagulia
Binafsi wala simuonei huduma
Tujifunzo kuyaheshimu maisha
We jamaaa dah...Najua jamaa kachoka ila hizo picha sio yeye nimefuatilia mbona hana kidoti cha puan wanaelekeana
Upo mkoa gani?Najua jamaa kachoka ila hizo picha sio yeye nimefuatilia mbona hana kidoti cha puan wanaelekeana
tuluga= turoga.Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Dar. UbungoUpo mkoa gani?
Nitaitafuta,nikiipata tutamwombe wote!Mwenye namba ya simu ya Chid Benz nimsaidie kiroho
nitaitafuta,halafu tutamuweka kwenye maombi!Nisaidieni namba yake ya simu nimsaidie kiroho
Wewe ndiyo upo chaka ile ileDuh, huyu ni looklike atakuwa, kama kawa wabongo wameingia mazima na comments zao.
TomasoWabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
ndio yeye,nenda youtube kuna video yuko na solo thang,afu kavaa tshirt hiyo hiyo kama kwenye picha hizi!Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Maisha yanaenda kasi sana... Dah Chidy Benz nilipokuwa nangalia kile kipindi chake EATV nilikuwa na ndoto ya kuwa kama yeye
Turoga = Tulogatuluga= turoga.