Amin Thuma AminMungu atustiri na atuepushe na janga hilo
ni NaniSiyo yeye, nitakuwa wa mwisho kuamini
Kusema ukweli ndiyo unafiki?Acha Unafiki,humjui wala hujawahi kusikia nyimbo zake?
hana simu kwa saizNisaidieni namba yake ya simu nimsaidie kiroho
uchaw n hizo drug zakeIla mimi nawasiwasi hawa wasanii wanalogana maana si kawaida,unajua huyu jamaa ukikutana naye mitaa ya kinondoni unaweza sema kichaa
Familia haswa. ..MOLA ATUEPUSHE MILELENoma sana. Pole kwa familia, jamaa na mashabiki wake.