chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
siwaoneagi huruma watu kama hawa sijui kwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu huna huruma 😀😀siwaoneagi huruma watu kama hawa sijui kwanini
Mkuu upo sayari gani q chief na ray c walikuwa na hali mbaya wote ila raisi akaamua kumchukua ray c tu q chief akamuacha ila sasa hivi mbona kaacha na yupo poa tu abubakari qatwilaNae q chief alikua mvutaji?
Hapo yuko vizuri lkn naona hawajafanana kabisaIna maana hapa kachoka au ana afadhali ukilinganisha na ulivyomwona???
Zimwi la lowasa limemtafuna akamuulize mtikila
hivi akihifadhiwa jela kwa miaka3 je hatoacha?mm napendekeza apelekwe huko japo kwa miaka3 akirudi atakuwa umeshasahau habari za ungaAendelee tu kujidunga hadi atakapochoka au kifo kitakapomuita.
Kwanza watu wanamfariji kwa kumtaabisha ndiyo maana na yeye ameamua kuwa kichwa ngumu teh teh......unga anaupenda na hatoacha bora kifo kimchukie ila si kuacha unga.
Sifurahii anayopitia kwasababu ingeweza kuwa mimi au mtu yoyote tu lakini kwasababu fulani haijawa hivyo imekuwa kwa Chid Benzi.
Huyo jamaa hawezi acha msaidieni ku-break circle ya friends na wadau wengine anaotumia nao hizo drugs
Maisha ya jela atakufa kwa alosto hahaa [emoji3]hivi akihifadhiwa jela kwa miaka3 je hatoacha?mm napendekeza apelekwe huko japo kwa miaka3 akirudi atakuwa umeshasahau habari za unga
huruma ninayo kwa watu wenye matatizo yaliyojuu ya uwezo wao kwa bwana huyu na wengineo wafananao sijui kwa nini sina huruma hadi nawashangaa nyie wenye huruma nayeKwasababu huna huruma 😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaha sipati picha Lowassa ndio angekuwa mgombea wa CCM. Yaani watu wangetokwa povu jingi sana. List of shame ingekuwa wazi muda wote.