Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kuna mtoto wake mmoja alizaa na mke mdogo alikuwa rafiki yangu sana enzi za utoto wetu tulikuwa pamoja sijui yupo wapi siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msitirii mzaziiimwenzioo jamaniHakuna asiyeufahamu umahiri wa Rashid Matumla katika ndondi , huyu ni kati ya mabondia wachache sana walioliletea Taifa hili heshima kubwa sana .
Lakini kama ilivyo ada , katika kila jema kuna upande wa pili wa mabaya , Baada ya kupata umaarufu ule , Rashidi akaamua kuzaa watoto wasio na idadi , mithili ya kufyatua matofali kwenye mashine ya umeme .
Ana watoto zaidi ya 10 , ambao ameshindwa kuwatunza na wamegeuka WAKABAJI , ( Mkazi yeyote wa keko anaweza kuthibitisha )
Ukabaji ninaoumanisha hapa ni ile tabia ya vijana vibaka na mateja maeneo ya uswahilini , kuamua kuvizia na kuwakaba na kupora mali za wananchi , hadharani na gizani , kwa maana nyingine ni kwamba Rashid Matumla ameleta kundi la wakabaji kwenye mitaa ileile aliyokuwa akisifiwa kwa ushujaa wake , jambo linaloleta aibu kwake mwenyewe na kwa wote waliomsaidia kuwa bingwa .
Wito kwa wanamichezo wa Tanzania kuweni makini sana na umaarufu wa kupita , angalieni mbele zaidi , msije dhalilika kama Rashid
Aje kukukabaKuna mtoto wake mmoja alizaa na mke mdogo alikuwa rafiki yangu sana enzi za utoto wetu tulikuwa pamoja sijui yupo wapi siku hizi
Hawezi, kwanza nipo vizuri maana baba yake alikuwa anatufundisha boxingAje kukukaba
Tulianza kuishi keko machungwa tukaamia keko mwanga kisha baadae tukaenda magurumbasi baadae MZEE akapata NYUMBA lugalo jeshin tukaenda huko....miaka ya 1998 ..ninschokumbka kuchomwa MTU moto alfajir ilikuwa jambo la kawaida mno...kwa WK unaweza kuta wa3 kiberiti.....Kuna jamaa alikuwa akitaka kuja anatoa NA taarifa kabisa wanadai alikuwa anatumia hiriz maana uunaweza mkimbza akikata kona tu hamumuoni tens.....Nimepa mic sanaHawana ujuzi wowote ule utawasaidiaje ? Ni hivi , vijana wengi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , keko Machungwa na Keko Torori mwisho wa elimu yao ni darasa la 7 tu .
Habari ndio hiyo mjombaaise......
Kama ingekuwa hivyo hiii hoja ya msingi kuwa kuna vibaka ingetoka wapi kenge wewe?
Msitirii mzaziiimwenzioo jamani
Inasikitisha sana !Rashid Matumla ilikuwa ni brand tosha kumfanya aishi maisha mazuri na kuwajengea msingi bora watoto wake
Nimeishia kucheka tu , Rashidi alivyokuwa anachekelea zile Toyota Mark 11 mayai alizopewa alidhani zitadumu hadi lini ?Ila ikumbukwe laana ya huyu matumla haitamuacha Salama malinzi, analia sana kuhusu huyo MTU, alikuwa ni promota wake na kwa kutumia udhaifu Wa elimu akamnyonya sana
Naona unapoelekea kwenye siasa na hakika kabisa umetumwa hasa kipindi hiki.Ila ikumbukwe laana ya huyu matumla haitamuacha Salama malinzi, analia sana kuhusu huyo MTU, alikuwa ni promota wake na kwa kutumia udhaifu Wa elimu akamnyonya sana
Wapo lakini hasira zao sio kaliKwani huko hakuna WANAINCHI WENYE HASIRA?
Ushawai ishi keko?Wapo lakini hasira zao sio kali