Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

Kuna mtoto wake mmoja alizaa na mke mdogo alikuwa rafiki yangu sana enzi za utoto wetu tulikuwa pamoja sijui yupo wapi siku hizi
 
Msitirii mzaziiimwenzioo jamani
 
Hawana ujuzi wowote ule utawasaidiaje ? Ni hivi , vijana wengi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , keko Machungwa na Keko Torori mwisho wa elimu yao ni darasa la 7 tu .
Tulianza kuishi keko machungwa tukaamia keko mwanga kisha baadae tukaenda magurumbasi baadae MZEE akapata NYUMBA lugalo jeshin tukaenda huko....miaka ya 1998 ..ninschokumbka kuchomwa MTU moto alfajir ilikuwa jambo la kawaida mno...kwa WK unaweza kuta wa3 kiberiti.....Kuna jamaa alikuwa akitaka kuja anatoa NA taarifa kabisa wanadai alikuwa anatumia hiriz maana uunaweza mkimbza akikata kona tu hamumuoni tens.....Nimepa mic sana
 
Huyu jamaa nilipomuona hopeless ni pale alipotoka kuumwa akaomba watanzania waisaidie familia na ukoo wao hela za matumizi ya kila siku sasa sijui wakati ule wanakula mema ya ndondi sijui kama walijaribu hata kuwasaidia wasiojiweza.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kama ingekuwa hivyo hiii hoja ya msingi kuwa kuna vibaka ingetoka wapi kenge wewe?

Hata huko Kibiti wamejaa wahifadhi juzuu a.k.a swala 5 lakini wanayofanya ni kinyume kabisa
 
Ila ikumbukwe laana ya huyu matumla haitamuacha Salama malinzi, analia sana kuhusu huyo MTU, alikuwa ni promota wake na kwa kutumia udhaifu Wa elimu akamnyonya sana
 
Ila ikumbukwe laana ya huyu matumla haitamuacha Salama malinzi, analia sana kuhusu huyo MTU, alikuwa ni promota wake na kwa kutumia udhaifu Wa elimu akamnyonya sana
Nimeishia kucheka tu , Rashidi alivyokuwa anachekelea zile Toyota Mark 11 mayai alizopewa alidhani zitadumu hadi lini ?

Amevuna alichopanda .
 
Ukabaji keko ni miakq hyo kwa sasa ukabaji upo lkn ni kama maeneo mengine tu ya dar. Kumlaum snakeboy eti kaleta janga nadhan ni kutomtendea haki snakeboy, wtt wake ambao ni watukutu wapo wawil tu daud na musa na hawajashindikana ss cjui unapata wap haki ya kusema eti kaleta janga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…