Rashid Matumla punzika Kaka aibu hii sasa

Rashid Matumla punzika Kaka aibu hii sasa

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Mwakyembe kamtwanga na kumwangusha mara kadhaa katika uwanja wa Songea. Katika mashindano ya kirafiki ya kitaifa. Japo ana umri wa miaka 41 ila anaonekana kanenepa saana. Nafikiri ni bia za offer na za kujinunulia. Kulinda heshima yake katika ndondi ang'atuke akae pembeni awe mshauri au kocha.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Baba njaa ndiyo inayomsumbua Matumla maana amekuwa anapigana ili asife njaa lakini kiuwezo anajua umri umeshampa mkono kabisa.
 
kashindwa kusoma alama za nyakati ila na watu wake wa pembeni hawamshauri vyema nakumbuka baada ya kupigwa kwa point na maugo pale PTA alitangaza kustaafu lakini wapambe wake waliipinga kauli hiyo na kumuomba aendelee...namuheshimu sana matumla na roho huniuma nikiona anchezea kisago!
 
Back
Top Bottom