NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
Mwakyembe kamtwanga na kumwangusha mara kadhaa katika uwanja wa Songea. Katika mashindano ya kirafiki ya kitaifa. Japo ana umri wa miaka 41 ila anaonekana kanenepa saana. Nafikiri ni bia za offer na za kujinunulia. Kulinda heshima yake katika ndondi ang'atuke akae pembeni awe mshauri au kocha.