Uchaguzi 2020 Rashid Mwinshehe (Kingwendu) achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Ilala

Uchaguzi 2020 Rashid Mwinshehe (Kingwendu) achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Ilala

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
" Mimi nimezaliwa Kisarawe lakini Ilala pia ni nyumbani kwa baba yangu, nimeamua kugombea hapa Ilala kwa sababu ninaijua vizuri, nimeona nisimpe presha mdogo wangu Selemani Jafo, na kusema kweli kwanza simuwezi ." - Kingwendu.

1328760_ki2ngwendu.jpg
 
Angalia Sura Zao Hawajapenda Mamluki Kuvamia Chama Chao..anatoka Mtu upinzani anaingia CCM anakuwa balozi, naibu Waziri, mkuu wa wilaya na Das wao vijana wa CCM wapo wanasugua mabenchi kwenye vijiwe vya kahawa hata bendera za chama hawataki kupandisha wanawaachia Wafungwa.
 
Bora Kingwendu utajua moja Kwa moja umechagua kituko..

Kuliko kina Lusinde..
Au Tulia..

Mtu kama Tulia unafikiri umechagua mwalimu wa sheria wa kusimamia katiba anaenda kubariki na kusimamia kunajisiwa katiba
 
Mkuu mbona Mkazo wako wa ' Kihasira ' umeuelekeza sana kwa huyu Dada na siyo huyo Msela wa Dodoma? Vipi uliomba Mbunye akakutosa nini?
 
Back
Top Bottom