Uchaguzi 2020 Rashid Mwinshehe (Kingwendu) achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Ilala

Uchaguzi 2020 Rashid Mwinshehe (Kingwendu) achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Ilala

Angeenda kinondoni akakutana na De Shika
Kinondoni yupo Mwanaume wa Kino Nabii Titto
tapatalk_1594044435484.jpg
 
Hukuwepo wewe kisarawe 2015...kuanzia kazimzumbwi,sungwi,masaki,kanga,maneromango,msanga....mpaka chole samvula kingwendu alichakaza kweli kweli.....nadhani katumia uungwana tu kumtoa waziri.....yeye pia waziri anajua mziki wa kingwendu.........
Siji sahau siku ile zinavuma usiku kingwendu amechukua Jimbo Asubuhi kijani wapo mtaani
 
Kwani ubunge nayo ni kazi NGUMU?.
Hata wewe na mimi tukiamua kuwa tunakuwa.
Ili mradi tupigiwe kura na wananchi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ikawe kheri..ila ubunge huu mhh
 
Kingwendu na wengine wa mfano wake wanafaa sana, kazi ya mtu haina uhusiano mkubwa na utendaji wa mtu.

Huyu hapa 👇 ni Volodymyr Zelensky Rais wa Ukraine.
20200708_192804.png


Kabla na baada ya kazi aliyonayo sasa ni Mchekeshaji kama alivyo Kingwendu, Joti nk, tofauti ni elimu nk.

So wale wenzangu na wewe pambana na ulichonacho tu.
 
Hii awamu imefanya kila mtu ajione anaweza kuongoza.... Kuna mambo ya kipuuzipuuzi sana nchi hii
 
😅😅 Watu wanachezea sana maisha ya wananchi, yaani Ubunge umekuwa kama kazi ya utani utani hivi..
Hiyo yote inatokana n upuuzi/ujinga wa wananchi, kwa kuona kuwa ubunge umekuwa sio sehemu ya kuwasemea, matatizo yao, bali ni sehemu ya kwenda kuchuma!! Na hakuna tofauti ya mbunge kuwa prof. Au std seven wote michango yao ni ile ile tu!!! KOSA KUBWA NI PALE AKILI KUBWA INAPOKUBALI KUONGOZWA NA AKILI NDOGO. ndio imetufikisha hapa.
 
[emoji28][emoji28] Watu wanachezea sana maisha ya wananchi, yaani Ubunge umekuwa kama kazi ya utani utani hivi..
Ndungai alivyoendesha Bunge la 11 ndiyo amefanya ubunge uonekane ni comedy tu na bungeni ni kijiwe cha kwenda kupigana vijembe.
 
Jaffo utampa tu ' Presha ' kama na Wewe Mgombea Mwenzake utakuwa ' Kigagula ' wa Kutukuka kama alivyo Yeye na anavyopenda kweli kweli tu.
Nawe bado uko mavumbini

Kwan john naye alikuwa kigagula alipopiga taekwondo diamond jubilee?
 
Hukuwepo wewe kisarawe 2015...kuanzia kazimzumbwi,sungwi,masaki,kanga,maneromango,msanga....mpaka chole samvula kingwendu alichakaza kweli kweli.....nadhani katumia uungwana tu kumtoa waziri.....yeye pia waziri anajua mziki wa kingwendu.........
Lakini kwasasa Jaffo lango la ushindi lipo nje nje, huwambii kitu wazaramo, yaani anafagia ushindi kuanzia Kazimzumbwi hadi Vikumburu huko.
Kingwendu labda aambulie kwao Marumbo, na atastaajabu hata wana Marumbo wenzie wanapita hivi.
 
Hongereni sana Takukuru kwa kazi nzuri mnayoifanya, endeleeni hivyo hivyo msilale kipindi hiki, mtu kwa mtu,
wananchi hawataki viongozi watoa rushwa au wapokea rushwa, shughulikieni watu hawa ,
rushwa ndio imetuchelewesha hadi leo Magufuli anahangaika.tusikubali mchezo huu
 
Back
Top Bottom