Uchaguzi 2020 Rashid Mwinshehe (Kingwendu) achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Ilala

Uchaguzi 2020 Rashid Mwinshehe (Kingwendu) achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Ilala

Wengine wanashika nafasi wakipewa mshiko wanajiengua juu juu.

Napenda sana Tulia ashinde mbeya. Ninamwombea ashinde
 
Japokuwa anatumia haki yake kikatiba lakini sasa tunaikosea heshima nafasi ya uwakilishi wa wananchi Bungeni . Haiwezekani kila mtu hata ambao hawana hekima za kutosha kuongoza jamii nao wanajiona wanafaa kuwa wabunge.
 
Anataka akagonge meza bungeni akaseme ndiooooo
 
Wengine wanashika nafasi wakipewa mshiko wanajiengua juu juu.

Napenda sana Tulia ashinde mbeya. Ninamwombea ashinde
Kwa tuliopo Mbeya.. Ni kwamba ushindi wa Tulia upo nje nje... Namshauri Sugu asipoteze hela yake bure
 
ili wananchi tusifanye utani na maisha yetu maana wabunge wengi mwaka huu wamejitokeza baadhi yao kwa ajili ya kutatua shida zao na wengine ili kulinda miradi yao, lkn tusifanye kosa wananchi watachagua mtu ambaye kweli tukimtazama historia yake na rekodi yake,
ila vyama navyo visifanye makosa ya kupitisha jina la mtu asiye faa itakula kwake na kwa chama
 
Back
Top Bottom