GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
π π Watu wanachezea sana maisha ya wananchi, yaani ubunge umekuwa kama kazi ya utani utani hivi..
Tulia ana subiri kuapishwa tu MbeyaBora Kingwendu utajua moja Kwa moja umechagua kituko..
Kuliko kina Lusinde..
Au Tulia..
Mtu kama Tulia unafikiri umechagua mwalimu wa sheria wa kusimamia katiba anaenda kubariki na kusimamia kunajisiwa katiba
Kweli kabisa hata watu washenzi washenzi na wamoπ π Watu wanachezea sana maisha ya wananchi, yaani ubunge umekuwa kama kazi ya utani utani hivi..
Sasa kingwendu na gwajima bora nani?
Sio watu,ni CCM ndio wamefanya ubunge uonekane kuwa rahisi na kwamba mtu yeyote anaweza.[emoji28][emoji28] Watu wanachezea sana maisha ya wananchi, yaani ubunge umekuwa kama kazi ya utani utani hivi..
Anapoteza fedha kwa mara ya pili.
Bora Kingwendu utajua moja Kwa moja umechagua kituko..
Kuliko kina Lusinde..
Au Tulia..
Mtu kama Tulia unafikiri umechagua mwalimu wa sheria wa kusimamia katiba anaenda kubariki na kusimamia kunajisiwa katiba
Hahaha! Kingwendu si wa kumpa pressure Jaffo.
Tulia ana subiri kuapishwa tu Mbeya