Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Angalia ya wenzetu..
Icadon, mjadala huu lazima ufikie mahali uwe chachu ya mabadiliko katika Idara zetu za intelligensia. Lengo la kubadilishana mawazo hapa siyo kuwaumbua bali kuonesha udhaifu wao na ni kwanini wanahitaji kubadilika au kubadilishwa.
Kama kiongozi wao haoni mapungufu hayo na hajaona sababu ya kufanya mabadiliko ya kisheria na muundo basi yeye mwenyewe hafai kuongoza taasisi hiyo.
Mkuu FEMS,
Naomba samahani sana kwa kukushupalia kuhusu kumtetea RO na kisha kumgeuka. Baada ya kusoma kwa makini niligundua kuwa mtu uliyekuwa unamtetea sio RO ni Mzee Malecela.
Chini hapa ni jirani zetu Kenya
National Security Intelligence Service (NSIS)
The NSIS brief, like all other intelligence organisations, is to gather and exploit secret information. It identifies conditions that threaten Kenya's political, economic and social stability. It subsequently develops opportunities and strategies to neutralise such threats.
NSIS intelligence gathering work includes: internal, external and strategic intelligence. NSIS is divided into seven sections:
1. Administration
2. Information technology
3. Internal intelligence
4. External intelligence
5. Economic affairs
6. Operations
7. National Intelligence Academy
Security of tenure given the director of NSIS is designed to protect him from such abuse by members of the governing elite. He has the opportunity to say 'no' to any unlawful or sectarian instructions from his bosses without fear of losing his job.
The position of intelligence boss is, therefore, crucial in maintaining democratic balance and, in Kenya's case, from taking it back to the torture chambers.
Mkuu naomba fafanuzi...je unamaanisha NSIS is doing better than sisi?
Sijamaanisha hivyo, na sijui tutatumia kigezo gani kupima ufanisi wao na wa kwetu..Dhumuni langu lilikuwa ni kuweka na kushare muundo wa idara yao..
Asante kwa jibu lako...mkuu ukiangalia muundo wa idara hizi katika nchi nyingi za kia Africa ilikuwa kulinda matakwa ya viongozi sababu kubwa ilkuwa ni chama kimoja ndio kina rule.
Ni mpaka ibadilishwe katiba au atokee kichaa mmoja kama J.Edgar Hoover
Oouuch! Reverend....
In fact hata hizo Jacki Cheni ni fix na they are always 3 steps behind. Waulize walikuwa wapi wakati Karume alipopigwa mtama Kampala!
Leo hii kila kitu ni high tech, brain work na si muscle work only na mikwara ya kuwa eti "sisi ni usalama wa taifa"!
Just imagine about a month ago wale jamaa wa DAWASCO walitishia kuweka sumu kwenye maji Ruvu Chini au Ruvu Juu. Tukajaza Maaskari mia kulinda vianzio, what about midway? kwenye Tengi pale Kimara tuliweka askari? ikiwa kila mtu anaweza jitobolea tundu kwenye Bomba kuu la maji kwenda Dar, ni kazi gani basi mtu kumwaga sumu pale Kibamba au Kimara Baruti?
Hivi hizi cheap contaminated products tunazoletewa kila siku kuna watu wa usalama ambao wameamka na kuwaambia Serikali na idara husika madhara ya hizi cheap product skwa usalama wa taifa letu? au watadai hilo ni jukumu la TBS na Wizara ya Viwanda?
Ikiwa Mzee Makamba alitoa msaada wa Mchele mbovu ambao aliamini kuwa ulikuwa ni bora, swali ni hili, wao TISS wanafanya nini kuchunguza hawa wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa nchini na kuoata utajiri marudufu ikiwa wanatuletea bidhaa bomu kila siku? Kwa nini hawafanyi upelelezi kisha wakawatonya Polisi?
Anyway, we are talking about RO na swala la Chenge, tufungue mada nyingine kuangalia jinsi gani hawa jamnaa wanapaswa kufanya reforms!
Icadon,
Hawa jamaa wanahitaji reform za hali ya juu. Wao wanafikiri kujua Kung-Fu na Judo ndio ujanja.
Si ajabu wengi wao hata kutumia Computer na internet hawajui!
mkuu hapo nawatetea mbona hapa JF wamejaa kila siku wanaTANDAWAA ktk JF kujua kulikoni.