Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Status
Not open for further replies.
Jamani naomba kwa heshima kidogo tupunguze jazba!!

Jk is the best thing we have right now if what we want is to fight high level corruption. TZ was being run as a syndicate and every level of govt was/is under the syndicate. Jk has to move with caution to survive himself. Do u guys think all of a sudden Lowassa, Rostam, Chenge and soon Yona/Mramba are in trouble due to coincidence??

BWM himself is thinking what is going on??

The whole system is corrupt and JK is doing the best he can (of course he is not perfect) but he is the best we have.

Let me ask a rhetoric question, if JK goes who do u think will grab power?? TZ will go back to BWM days where the powerful could do whatever they want.

JK has to have our full support at this time, because he is running foul with the cartel, so if we abandon him he will have no support and he will crumble.

Kuhusu RO, no comment.

Wewe unaonekana huwezi kusoma sura ya mchezo ,unayumbishwa sana na kauli za siasa.Na inaonekana ndio nyie unaochagua mtu kwa kuangalia sura au ahadi bila kuangalia nini kafanya.
Kafanya nini mpaka sasa na anahitaji support gani !Tume anazounda wawili kati ya watatu nao watuhumiwa nini kinaendelea.Kashfa za pesa nyingi za BOT na hiyo EPA zimetumika katika uchaguzi wake hilo pia huoni au unadhani zile pesa zilishuka kutoka kunako mbingu ?,uchaguzi wa 2005 uligharimu asikwambie mtu.
Usiangalie wanavyojifanya serious na watu wa chini na rushwa ndogo ndogo wakakughiribu akili.
Mimi nasema you can't catch a big fish if you keeping looking for small fish .
 
kwa ukaribu waliokuwa nao muungwana na rashidi tena wakubadilishana mabibi tangu zanzibar hadi london...kila mtu baada ya jk kuteuliwa tu alijua rashid anapanda ..pamoja na kuwa senior hakuwa director....na hata kabla ya uchaguzi jamaa alirudi ..na watu wakajua yametimia.....mara tu baada ya jamaa kuingia ...jamaa ikawa wazi amehamishiwa nyumbani toka london...huku akiwa amewakuta wakurugenzi wengi tu wa vitengo...baada ya yule jamaa aliyekuwa akitarajiwa kuukwaa UKUU WA IDARA ...kufariki katika hali ya utata ghafla...jamaa hapo hapo akapewa UKAIMU wa idara aliyokuwa akiiongoza yule [WN].....NA mara ghafla UKUU.....

..HUYU jamaa kuingia ame demoralize watu kwa kuwa kama yeye alivyobebwa na yeye amewabeba watu wasiojua kazi kama yeye ..ndio wamemzunguka...wanaojua kupiga kazi wapo kando wanaangalia....kazi kweli kweli!!!

phillemon mikael, NAMBA UNIPE HIYO STORY NILIPOPAWEKEA WINO MWEKUNDU- KAZI KWELI KWELI
 
Napinga sana Chenge kuachiwa aendelee kama business as usual minister, yaani frankly nashindwa kuona ni vipi Chenge anaweza kukaa nyumbani kusubiri gari ya ofisi, kisha aende kazini kufanya kazi bila kuzongwazongwa na tuhuma hizi. It will be best if steps down for our nation's sake!

Hata hivyo nasita kuungana na wito wa hapa kutaka RO ajiuzulu,kwa sababu unlike Hosea na AG Mwanyika, wengi humu wapo ignorant kujua mipaka ya kazi za Idara ya Usalama wa Taifa.

Kwa hakika tunakosea sana kutaka RO ajiuzulu kwa kulinganisha utedaji wake wa kazi na wale wa zamani, huyu ni mkurugenzi wa alama mpya za nyakati, hivi nani hajui kuwa moja ya mbinu za idara ya usalama ni kunearth maovu, who knows kama haya tunayoyasikia ni as a result ya kazi yao, problem kubwa ni kuwa unlike other state departments hii ya Intelligence haina PR officer, watu wanashindwa kujua iwapo kazi inafanyika au la, Hata wale wanaosema ''Jiuzulu Yes I said it'' nina hakika hawajui kazi rasmi za usalama wa Taifa ni zipi,

The little I know ni kuwa hawa jamaa ni washauri tu full stop na at times huwa wanaact on permission! na kazi zao ni undercover hivyo pale mahali kama wametia mkono au la ni beyond public knowldedge, how can you blame someone bila kujua kazi zake?!

Issue ya Chenge inaarifiwa kuwa SFO walikuja Tanzania, na other circles reports that walideal kwanza na upande na Intelligence....

Times have changed, zamani haya yakitokea ilikuwa ni rahisi kumwambia editor wa Dailynews and other handful papers kuwa stop this! sasa hivi ni magazeti lukuki and it helps kujulikana maovu, hivi ni vita ambavyo ukiangalia single issues utaona hata JK hawajibiki but if you look at the bigger picture corruption scandal's coverage ni healthy kwa nchi guys! Hii ni dalili ya wazi kuwa mafisadi sasa hawawezi kujinatanfasi katika bongo yetu.

Usalama sasa wana kazi ngumu ya kujaribu kupambana na mafisadi waliomzunguka JK ambao for some reason ni friends, but they have managed to do it if you look at the fallback position alonayo Rostam na Lowassa...The intelligence today has to collaborate with the media na what we are seeing is somehow the result of tip off from reliable sources huwa inakuwa ni usalama, inapohojiwa kuwa walikuwa wapi, inakuwa ni meaningless...

Now I think is the right moment kwa Chenge kuresign kwanza, we should stop beating around the bush katika hili!Na huu ''reliable sources'' zinaarifu kuwa ameaombwa aresign au atamuacha rais with no option but to sack him....There is no way... He has to go frankly....
 
Nadhani tukianza kum-attack RO kama individual tutakuwa tunakosea, na inawezekana kuna mengi anajua ambayo sisi hatujui. Lakini ni lazima tui-attack TISS as a whole, maana yeye ni mmoja tu na hiyo ni taasisi ambayo pengine inatumia resources nyingi kuliko taasisi yoyote hapa Tanzania. The fact ni kuwa kwa sasa iko weak sana, na weakness yake kwa laymen kama mimi ilikuwa evident wakati majambazi wa Kenya walipokuwa wakiingia kufanya uhalifu mpaka Dar several times nakuondoka salama na kurudi tena na tena. Sasa hivi inaonekana kuwa primary role yao ni kuwalinda viongozi, kutishia waandishi wa habari na kupambana na kuwakandamiza opposition, na sio kulinda usalama wa taifa(may be neno taifa lina maana ambayo layman kama mimi siwezi kuifahamu). Kama watu wanaweza kuliibia taifa mabilioni ya pesa na kumzuia Slaa asiseme bungeni, utaweza kujiuliza hawa watu wanalinda usalama upi?
Ya Chenge ni moja tu, kuna mamia ya issues ambazo zinahusu usalama wa taifa zote ziko ziko tu, labda ziko kwenye mafaili, na wahalifu wanaendelea kupeta tu na kulindwa.
Wa kumlaumu sio RO, kuna wengine wengi ambao wako kwenye TISS ambao ni watu wenye akili timamu kabisa. Ofisi ya PM ilipoanza kuoza mbona wazee walifanya mambo na kuikoa ofisi, hata TISS inawezekana, sasa hivi credibility yake inazidi kwenda low! Labda itazinduka!
 
Napinga sana Chenge kuachiwa aendelee kama business as usual minister, yaani frankly nashindwa kuona ni vipi Chenge anaweza kukaa nyumbani kusubiri gari ya ofisi, kisha aende kazini kufanya kazi bila kuzongwazongwa na tuhuma hizi. It will be best if steps down for our nation's sake!

It is not difficult to understand why. Swali litakuja, "atakayeona yuko safi na aanze kumtupia jiwe Chenge", unaweza kuona wote wamenyewea. Inawezekana kuwa alitumia akaunti yake tu, lakini hizo pesa zinamilikiwa na wengi, ukumbuke kuwa majina ya EPA bado hatujatajiwa kwa hiyo tunaendelea kusburi huku tunalia!
 
Tatizo wabunge wetu wanaiogopa idara ya usalama vibaya mno, kiasi mkurugenzi wake RO anakuwa kama yuko above the law. But, as times go wananchi kuna siku watachukua madaraka mkononi.

Si wabunge tu, nchi nzima imejengewa hofu kiasi kwamba usalama wa taifa linaonekana kama dude lisilopaswa kuhuswa. nadhani hii ilifanywa makusudi na wakubwa ili kujijengea kichaka cha kujilinda
 
Kwani itatuchukua miaka mingapi kuamini kwamba wa kwetu sio usalama wa taifa bali ni usalama wa CCM na viongozi wake?
 
Kwa hakika tunakosea sana kutaka RO ajiuzulu kwa kulinganisha utedaji wake wa kazi na wale wa zamani, huyu ni mkurugenzi wa alama mpya za nyakati, hivi nani hajui kuwa moja ya mbinu za idara ya usalama ni kunearth maovu,

Mkuu Mtalii, heshima yako bro, katika siasa inapotokea maovu makubwa ya kitaifa ni lazima kiongozi mmojawapo au zaidi ya mmoja wawe responsible, kama usalama wa taifa yngekuwa unafanya kazi yake inavyotakiwa, basi Chenge, asingekuwa waziri, wao wanaye mpaka waziri wa Good Governance, huyu pia ni ofisa wao wa PR politically kama wamemueleza rais akawapuuza ilikuwa ni kazi yake kwenda bungeni kudai support ya wabunge on the ishu, kwenye hili la Chenge kuwa na mapesa mengi nje ya kutokana na deal ya Radar wameshindwa kumuarifu rais mapema, maana hata Chenge mwenyewe anasema walishitukizwa wakiwa u-China kuhusu hizi habari, Mtaliii ninajua "the connection" na papa, lakini hapa mkuu ni taifa kwanza, argument yako ya kumtetea inakosa nguvu mkuu!

Ilikuwa ni kazi ya usalama kisheria, kuisaidia serikali ili isisaini mikataba ya Richimonduli, Radar na Buzwagi, now this Chenge, hapana mkuu enough!

Ahsante Mkuu!
 
aisee inaonekana mkuu ES anajua ishu nyingi unajua watu wengi kitaani wasio na access na intaneti nikianza kuwamwagia ishu zinazoongelewa jf wanadhani labda na miye usalama wa taifa!
 
Hata hivyo nasita kuungana na wito wa hapa kutaka RO ajiuzulu,kwa sababu unlike Hosea na AG Mwanyika, wengi humu wapo ignorant kujua mipaka ya kazi za Idara ya Usalama wa Taifa.

Kipindi ambacho RO amekuwa dg ameshindiwa kusaidia kuzuia,
-Mkataba wa Richmond
-Kusainiwa kwa mkataba wa Buzwagi hotelini nje ya nchi
-Swala la Chenge mpaka anaruhusiwa kusafiri na Rais wetu nje ya nchi.

Mkuu Mtalii, with all due respect, sio kweli kwamba wengi hapa wako,ignorant as of what is kazi ya usalama au wajubu wao kwenye matatizo ya ufisadi yanyoendelea sasa hivi kwa taifa letu, ni lazima ukubali kuwa sasa taifa letu limesimama kwa muda mrefu sana kutokana na ku-focus kwenye ufisadi wa viongozi wetu wa taifa, ni karibu miaka miwili sasa hatuna agenda zaidi ya ufisadi, na inaelekea kuwa tutakuwa nalo kwa muda mrefu sana mbele ya safari, WHY?

Amerika iliposhindwa kupata DMD kule Iraq, unajua lilikuwa ni tatizo la nani mkuu? Usalama, na sisi kushindwa kuwajua mafisadi mapema kabla hawajachaguliwa kuwa viongozi wakuuu wa taifa, ni tatizo la usalama, mpaka tunakuja kuambiw ana wazungu kuhusu hela nyingi za kiongozi wetu zilizoko nje ya nchi, usalama wetu walikuwa wapi? hoja yako kwamba huenda ni wao wanaosema haya haina nguvu mkuu ingekuwa basi kina Kawawa, wasingeshangaa na haya ya Chenge, mpaka waziri wa sasa wa Usalama Sohia Simba, amesema wazi jinsi alivyoshitushwa na haya ya Chenge, hapa Usalama wetu hawana cha kujitetea mkuu, zaidi ya kuwajibika tu!

Ahsante tena mkuu!
 
sawa kabisa Mkuu Field Marshal ES, tena Waziri Simba alimalizia kwamba huenda Chenge ameuza ng'ombe wake wote.
 
Usalama wa Taifa au usalama wa viongozi mafisadi! Wanapokuwa ziarani na wakubwa wanajifanya wako makini kishenzi, kumbe ni danganya toto. Kazi yao kubwa ni kuwalinda mafisadi na kuwabana wapiga filimbi. RO hafai yeye na taasisi yake, kwanza inabidi ifutwe.

Watawala wanaochekelea wakiwa na 'askari', watalia wakiwa na wananchi.
 
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?

Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa RO na timu yake walikuwa wapi?

Niendelee kuorodhesha ushahidi wa uzembe uliokithiri na uvivu wa kufikiri wa taasisi nyeti ya Usalama wa Taifa? Kama wameshindwa kugundua matukio ya economic sabotage yanayoendelea nchini wana faida gani? Hii ya kusafiri na Rais na kutumia vi ear pieces na makoti marefu kama vile wao Secret Service?

yes I said it!
Rashid Othman ajiuzulu kwa ajili ya Usalama wa Taifa!!!
Correct me if I am wrong!
Hapa naona tunachanganya madda...na tunajaribu ku attack personalities na not on issues..hii ni aibu kwa JF.

MJJ unamzungumzia RO na kumuunganisha kwenye issues za Chenge na RDC?! Hivi tunazungumzia ufisadi au au usalama wa nchi. Habari ya Raddar ina uhusiano na UK..mbona hatukuoni ukahoji kwanini Scotland Yard au MI6 wasigundue kama **** pesa zimefichwa huko kisiwani mpaka SFO walipogundua?

Nilitegemea kwa issue hizi ungesema TAKUKURU lakini kumuunganisha RO nadhani umechemsha!
 
These are function of TISS
5.-(1) Subject to the control of the Minister, the functions of the Service shall be- of TISS
(a) To obtain, correlate, and evaluate intelligence relevant to security, and to communicate any such intelligence to the Minister and to persons whom, and in the manner which, the Director-General considers it to be in the interests of security;
(b) To advise Ministers, where the Director-General is satisfied that it is necessary to do so, in respect of matters -relevant to security, so far as those matters relate to departments or portfolios of which they are in charge;
(c) To cooperate as far as practicable and necessary with such other organs of state and public authorities within or outside Tanzania as are capable of assisting the Service in the performance of its functions.
(d) To inform the President, and any other person or authority which he Minister may so direct, of any new area of potential espionage, sabotage, terrorism or subversion in respect of which the Director-General has considered it necessary to institute surveillance.

kuna mtu ana run script katika Ip address yangu na .kila nikataka kupost jambo an nilog out,natoa onyo,tusilaumiane mbele ya safari.

Nipo hapa kumkoma nyani giladi na wala sio kulidna mafisadi.
Invisible check on this please,.do you have an attibute which enter Ip Address while posting??
 
ni karibu miaka miwili sasa hatuna agenda zaidi ya ufisadi, na inaelekea kuwa tutakuwa nalo kwa muda mrefu sana mbele ya safari, WHY?

Mkuu nakubaliana na wewe, issue ya kulalama na ufisadi bila kui-put behind haina maana sana. Lakini kila leo tunazidi kuondolewa kizani na haya yanayojitokeza. Unajua Wezi wanapokuwa viongozi na Viongozi wanapokuwa wezi, maendeleo ya nchi ambayo yanapiganiwa kila siku yanakuwa hayaendi popote, na watu wanakuwa na haki ya kudiscuss hii issue ya kui-exhaust kabisa, ili kujua ni wapi hela zetu zinakwenda.
Pamoja ya kuwa wewe unaona tunajadili sana issue hii, lakini wiki iliyopita ndugu zangu watatu ambao wana elimu ya form four hawajui lolote linaloendelea kuhusu EPA,Radar, Richmond na dhulma nyingi tunazofanyiwa hapa Tanzania. In my opinion pamoja na kwamba tuna mengi ya kujadili na kuyafanya, lakini haya yote tunatakiwa kuendelea nayo ili message ifike kwa watanzania wote. Itakuwa busara sana kama 2010 kutakuwa na somekind of change, kuwe na sauti kubwa na tupate nguvu za kuwasema na kuwachukulia hatua mafisadi!
 
a. How can we have an intelligence service that is fundamentally an advisory body?

b. Why TISS can not collect criminal intelligence and prosecutable evidence in the areas of espionage, sabotage, terrorism etc.?

c. Why this state organ can not arrest potential terrorists or individual who are suspected of espionage, terrorism, sabotage (economic or otherwise)?
 
Go https://jamii.app/JFUserGuide Bull Shit Thoroughly Like A Dog
 
Napinga sana Chenge kuachiwa aendelee kama business as usual minister, yaani frankly nashindwa kuona ni vipi Chenge anaweza kukaa nyumbani kusubiri gari ya ofisi, kisha aende kazini kufanya kazi bila kuzongwazongwa na tuhuma hizi. It will be best if steps down for our nation's sake!

Hata hivyo nasita kuungana na wito wa hapa kutaka RO ajiuzulu,kwa sababu unlike Hosea na AG Mwanyika, wengi humu wapo ignorant kujua mipaka ya kazi za Idara ya Usalama wa Taifa.

Kwa hakika tunakosea sana kutaka RO ajiuzulu kwa kulinganisha utedaji wake wa kazi na wale wa zamani, huyu ni mkurugenzi wa alama mpya za nyakati, hivi nani hajui kuwa moja ya mbinu za idara ya usalama ni kunearth maovu, who knows kama haya tunayoyasikia ni as a result ya kazi yao, problem kubwa ni kuwa unlike other state departments hii ya Intelligence haina PR officer, watu wanashindwa kujua iwapo kazi inafanyika au la, Hata wale wanaosema ''Jiuzulu Yes I said it'' nina hakika hawajui kazi rasmi za usalama wa Taifa ni zipi,

The little I know ni kuwa hawa jamaa ni washauri tu full stop na at times huwa wanaact on permission! na kazi zao ni undercover hivyo pale mahali kama wametia mkono au la ni beyond public knowldedge, how can you blame someone bila kujua kazi zake?!

Issue ya Chenge inaarifiwa kuwa SFO walikuja Tanzania, na other circles reports that walideal kwanza na upande na Intelligence....

Times have changed, zamani haya yakitokea ilikuwa ni rahisi kumwambia editor wa Dailynews and other handful papers kuwa stop this! sasa hivi ni magazeti lukuki and it helps kujulikana maovu, hivi ni vita ambavyo ukiangalia single issues utaona hata JK hawajibiki but if you look at the bigger picture corruption scandal's coverage ni healthy kwa nchi guys! Hii ni dalili ya wazi kuwa mafisadi sasa hawawezi kujinatanfasi katika bongo yetu.

Usalama sasa wana kazi ngumu ya kujaribu kupambana na mafisadi waliomzunguka JK ambao for some reason ni friends, but they have managed to do it if you look at the fallback position alonayo Rostam na Lowassa...The intelligence today has to collaborate with the media na what we are seeing is somehow the result of tip off from reliable sources huwa inakuwa ni usalama, inapohojiwa kuwa walikuwa wapi, inakuwa ni meaningless...

Now I think is the right moment kwa Chenge kuresign kwanza, we should stop beating around the bush katika hili!Na huu ''reliable sources'' zinaarifu kuwa ameaombwa aresign au atamuacha rais with no option but to sack him....There is no way... He has to go frankly....

Mtalii,

Wakati 9/11 ilipotokea na kudhihirika kuwa wakuu wa Usalama walizembea, baadhi yao waliachia ngazi.

It is being said, "prevention is better that cure" sasa leo unapotuambia mazingira magumu kwa UWT kufanya kazi zao tukueleweje ikiwa kila siku kunachepuka uyoga mpya wa uhujumu?

Let say Othman hakuwepo wakati wa IPTL, Radar, Ndege, EPA na Richmond;

  • Alikuwa wapi wakati Mataka na wenzake wanafuja pesa za umma kwa Mkataba wa ndege?
  • Alikuwa wapi wakati Mataka na wenzake wanajinunulia magari binafsi kwa kutumia fedha za kampuni?
  • Alikuwa wapi wakati pesa za Benki ya Posta zinahujumiwa?
  • Alikuwa wapi ambapo Bilioni kibao zilizopangwa kutumika katika bajeti hii inayokwisha Juni zimeliwa tangu Julai 2007 mpaka Utoh anakuja toa taarifa chafu Bungeni?
  • Alikuwa wapi wakati tetesi la uhujumu wa Radar lilipoanza mwaka juzi na mpaka kufikia wakati SFO wanataja jina la mtu ambaye alikuwa mwanasheria mkuu?
  • Alkuwa wapi wakati Barua ya Jitu Patel, Listi ya JK 11 na hotuba za Wapinzani kuhusu Ufisadi, kwa nini hakuchangamka haraka na kufanya kazi yake na si kujikongoja?
Ni mtiririko mkubwa wa uzembe wa makusudi hata kama wengine mtadai unanzia kwa Rais, jee, ni kwa nini watendaji ambao wamekula kiapo kuilinda katiba waendelee kumtumikia Rais mbovu na Serikali mbovu?
 
These are function of TISS

kuna mtu ana run script katika Ip address yangu na .kila nikataka kupost jambo an nilog out,natoa onyo,tusilaumiane mbele ya safari.

Nipo hapa kumkoma nyani giladi na wala sio kulidna mafisadi.
Invisible check on this please,.do you have an attibute which enter Ip Address while posting??

Gembe usijali mkuu,

Kuna mtu namfuatilia anajaribu kucheza mchezo wa kitoto lakini hawezi chochote hapa. Hakuna mtu anaweza kucheza na system ya JF ila wanaojaribu wengi wanajua kinachowatokea.

Wewe endelea na kazi yako mkuu hakuna tatizo lolote so far. Wengi wamejaribu kwangu hata kwa kujifanya wananitumia PM na wamechoka wenyewe na nguvu ya jamboforums protection.

Membas wakiwa hapa mostly wako safe.
Najua umemuuliza invisible but nimetoa jibu mapema ili wengine wasidhani kuna compromise hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom