Rashida Wanjara amegoma kuzeeka

Rashida Wanjara amegoma kuzeeka

Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida wanjara.

She is still looking young and energetic kumbe wakuu kujitunza muhimu


Maana Dada zetu wengine wamezaliwa 2000s Ila wameshaisha .

Siri anasema ni kuweka balance katika mambo yote
Hahahah sasa aliyekwambia kama ukijitunza huzeeki nani..

Mtu kuzeeka haraka au kutozeeka haraka kwa kiasi kikubwa inategemea na genetic zake na ukoo wake..

Kama baba au mama yako at 50 teyri alishazeeka usitegemee wewe utakuwa na young at 70...

Ndio maana waswahili wanasema "unaudongo mzuri" maana yake mwili hauzeeki haraka...
 
"...yalisemwa mengi demu wangu alipotoroka (Rashida Wanjara), ni fundisho tosha na changamoto kwa mwanachoka....." KIPI SIJASIKIA by Prof Jay.

Long live SHIDA WANJARA shangazi la 'Bunyero Bunyero'. Since old skul pale Jiteute hadi leo hii you still balling downtown. 😎

-Kaveli-
 
Picha uliyoweka haina quality ya kuweza kujua muonekanano wa sasa wa huyo Rashida...
 
Back
Top Bottom