"RASILIMALI ZETU NI CHACHE" Hii kauli ya Rais sijaielewa kabisa naombeni mnieleweshe

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,500
hata chatgp imekataa kwa nguvu zote

1000014511.jpg
1000014512.jpg

mimi pia naungana na CHATGPT kukataa,

nchi ya Tanzania imejaaliwa rasilimali nyingi sana mpaka baadhi ya nchi wanatamani wawe kama sisi

tumejaaliwa kila aina ya utajiri baadhi naorodhesha hapa chini

Tukianza na rasilimali tulizojaariwa hifadhi na mbuga za wanyama

Tuna Mbuga za Taifa kama:
  • Serengeti
  • Ruaha
  • Tarangire
  • Katavi
  • Gombe
  • Mikumi
  • Saadani
  • Burigi-Chato
  • Ziwa Manyara
  • Udzungwa
  • Nyerere
  • Rumanyika-Karagwe

✅ Hifadhi zingine kama:
  • Hifadhi ya Ngorongoro
  • Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
  • Hifadhi ya Mkomazi
  • Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo
  • Hifadhi ya Saanane
  • Hifadhi ya Kitulo
  • Hifadhi ya Arusha
  • Hifadhi ya Dar es Salaam (bahari)
  • Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai
  • Hifadhi ya Jozani (Zanzibar)
  • Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa

✅ Maeneo ya misitu na milima ya hifadhi kama:
  • Milima ya Mahale
  • Msitu wa Amani

Tuna mlima kilimanjaro mlima wa pili kwa urefu duniani,

Tanzania, nchi yenye mandhari ya kuvutia na utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inajivunia kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wake kutokana na sekta mbalimbali kama madini, gesi asilia, kilimo, utalii, uvuvi, misitu, nishati, na mafuta. Rasilimali hizi zimeweza kusaidia katika kukuza uchumi na kutoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania.

Katika sekta ya madini, Tanzania imekuwa mzalishaji mkubwa wa dhahabu barani Afrika. Maeneo maarufu ya uchimbaji wa dhahabu ni pamoja na

1. Geita Gold Mine – Geita
2. North Mara Gold Mine – Mara
3. Bulyanhulu Gold Mine – Shinyanga
4. Buzwagi Gold Mine – Shinyanga
5. Williamson Diamond Mine (Mwadui) – Shinyanga
6. Mererani Mines – Manyara
7. Kabanga Nickel Project – Kagera/Kigoma
8. Mnazi Bay Gas Field – Mtwara/Ruvuma
9. Liganga Iron Ore Mine – Njombe
10. Mchuchuma Coal Mine – Njombe
11. Stamigold Mine – Biharamulo (Kagera)
12. Ngaka Coal Mine – Ruvuma
13. Nyanzaga Gold Project – Mwanza
14. Buckreef Gold Mine – Geita
15. Itetemia Gold Mine – Mwanza
16. Tulawaka Gold Mine – Kagera

Tanzanite, madini ya kipekee yanayopatikana tu nchini Tanzania, hasa katika eneo la Mererani, yana thamani kubwa kwenye soko la kimataifa

Gesi asilia ni mojawapo ya rasilimali zinazochipukia kwa kasi. Maeneo kama Mtwara na Lindi yanaonekana kuwa na hazina kubwa ya gesi asilia ambayo inaweza kuleta mapato makubwa kwa taifa,

Tuna
ziwa victoria
ziwa nyasa
ziwa Tanganyika
Bahari ya Hindi

tuna mto Rufiji na mto pangani ambayo ni kwaajili ya uzalishaji umeme mkubwa

mtu kama Museven anatamani sana apate bandari kubwa kama Tanzania

tanzania tuna bandari kubwa na ndogo kama ifutavyo

Hizi ni bandari kuu na za kati zinazopatikana nchini Tanzania:

Bandari Kuu (Major Ports):
1. Bandari ya Dar es Salaam* – Dar es Salaam
2. Bandari ya Tanga* – Tanga
3. Bandari ya Mtwara* – Mtwara

Bandari Ndogo/Msadizi (Minor Ports)
4. Bandari ya Bagamoyo* – Pwani (inapangwa kuwa ya kisasa)
5. Bandari ya Kilwa – Lindi
6. Bandari ya Lindi – Lindi
7. Bandari ya Mafia – Kisiwa cha Mafia
8. Bandari ya Zanzibar – Unguja (ingawa ni sehemu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar)
9. Bandari ya Pemba (Mkoani na Wete) – Pemba
10. Bandari ya Kigoma – Ziwa Tanganyika
11. Bandari ya Kasanga – Ziwa Tanganyika (Rukwa)
12. Bandari ya Mwanza (South & North Ports)* – Ziwa Victoria
13. Bandari ya Musoma – Ziwa Victoria
14. Bandari ya Bukoba – Ziwa Victoria
 
hata chatgp imekataa kwa nguvu zote

View attachment 3503733View attachment 3503734

Rasilimali zetu washaziuza hawa. Hiyo misitu na Mapori wameshapewa Waarabu .....!!
 
Zilizobakia ni chache mkuu. Nyingine zinamilikiwa na wajomba
 
zimeuzwa zote sasa Unafikiri kwa nini hawataki kutoka madarakani mtajua uozo wao ndo maana nasema kila siku hawa hawawezi kutoa katiba mpya maana itawatupa jela
 
Labda zipo nyingi ila wamezimiliki wao kibabe, ko za nchi zimebaki chache
 
hata chatgp imekataa kwa nguvu zote

View attachment 3503733View attachment 3503734

mimi pia naungana na CHATGPT kukataa,

nchi ya Tanzania imejaaliwa rasilimali nyingi sana mpaka baadhi ya nchi wanatamani wawe kama sisi

tumejaaliwa kila aina ya utajiri baadhi naorodhesha hapa chini

Tukianza na rasilimali tulizojaariwa hifadhi na mbuga za wanyama

Tuna Mbuga za Taifa kama:
  • Serengeti
  • Ruaha
  • Tarangire
  • Katavi
  • Gombe
  • Mikumi
  • Saadani
  • Burigi-Chato
  • Ziwa Manyara
  • Udzungwa
  • Nyerere
  • Rumanyika-Karagwe

✅ Hifadhi zingine kama:
  • Hifadhi ya Ngorongoro
  • Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
  • Hifadhi ya Mkomazi
  • Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo
  • Hifadhi ya Saanane
  • Hifadhi ya Kitulo
  • Hifadhi ya Arusha
  • Hifadhi ya Dar es Salaam (bahari)
  • Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai
  • Hifadhi ya Jozani (Zanzibar)
  • Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa

✅ Maeneo ya misitu na milima ya hifadhi kama:
  • Milima ya Mahale
  • Msitu wa Amani

Tuna mlima kilimanjaro mlima wa pili kwa urefu duniani,

Tanzania, nchi yenye mandhari ya kuvutia na utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inajivunia kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wake kutokana na sekta mbalimbali kama madini, gesi asilia, kilimo, utalii, uvuvi, misitu, nishati, na mafuta. Rasilimali hizi zimeweza kusaidia katika kukuza uchumi na kutoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania.

Katika sekta ya madini, Tanzania imekuwa mzalishaji mkubwa wa dhahabu barani Afrika. Maeneo maarufu ya uchimbaji wa dhahabu ni pamoja na

1. Geita Gold Mine – Geita
2. North Mara Gold Mine – Mara
3. Bulyanhulu Gold Mine – Shinyanga
4. Buzwagi Gold Mine – Shinyanga
5. Williamson Diamond Mine (Mwadui) – Shinyanga
6. Mererani Mines – Manyara
7. Kabanga Nickel Project – Kagera/Kigoma
8. Mnazi Bay Gas Field – Mtwara/Ruvuma
9. Liganga Iron Ore Mine – Njombe
10. Mchuchuma Coal Mine – Njombe
11. Stamigold Mine – Biharamulo (Kagera)
12. Ngaka Coal Mine – Ruvuma
13. Nyanzaga Gold Project – Mwanza
14. Buckreef Gold Mine – Geita
15. Itetemia Gold Mine – Mwanza
16. Tulawaka Gold Mine – Kagera

Tanzanite, madini ya kipekee yanayopatikana tu nchini Tanzania, hasa katika eneo la Mererani, yana thamani kubwa kwenye soko la kimataifa

Gesi asilia ni mojawapo ya rasilimali zinazochipukia kwa kasi. Maeneo kama Mtwara na Lindi yanaonekana kuwa na hazina kubwa ya gesi asilia ambayo inaweza kuleta mapato makubwa kwa taifa,

Tuna
ziwa victoria
ziwa nyasa
ziwa Tanganyika
Bahari ya Hindi

tuna mto Rufiji na mto pangani ambayo ni kwaajili ya uzalishaji umeme mkubwa
Anajustify kuongeza kodi na tozo.
 
Rasilimali zetu washaziuza hawa. Hiyo misitu na Mapori wameshapewa Waarabu .....!!
Yawezekana alikuwa anaongea kwa muktadha huu, ila tu alishindwa kuweka wazi.

Na tena naskia ile Airport ya KIA siku sio nyingi wanapewa waarabu, hili wainyonye ile tanzanite iliyopo pale chini... Nyerere atakuwa analia sana huko alipo
 
Shida sio rasilimali ila ni VIONGOZI weru hawana vision zaidi ya kuiba tu
 
Serekali ikitaka kupata kodi bila shida iongeze kodi kwenye kamari. Hata igike 30% watu hawataacha kucheza. Hili ni eneo muhimu la kuangalia.
Japo siipendi sarekali hii ya ccm.
 
hata chatgp imekataa kwa nguvu zote

View attachment 3503733View attachment 3503734

mimi pia naungana na CHATGPT kukataa,

nchi ya Tanzania imejaaliwa rasilimali nyingi sana mpaka baadhi ya nchi wanatamani wawe kama sisi

tumejaaliwa kila aina ya utajiri baadhi naorodhesha hapa chini

Tukianza na rasilimali tulizojaariwa hifadhi na mbuga za wanyama

Tuna Mbuga za Taifa kama:
  • Serengeti
  • Ruaha
  • Tarangire
  • Katavi
  • Gombe
  • Mikumi
  • Saadani
  • Burigi-Chato
  • Ziwa Manyara
  • Udzungwa
  • Nyerere
  • Rumanyika-Karagwe

✅ Hifadhi zingine kama:
  • Hifadhi ya Ngorongoro
  • Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
  • Hifadhi ya Mkomazi
  • Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo
  • Hifadhi ya Saanane
  • Hifadhi ya Kitulo
  • Hifadhi ya Arusha
  • Hifadhi ya Dar es Salaam (bahari)
  • Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai
  • Hifadhi ya Jozani (Zanzibar)
  • Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa

✅ Maeneo ya misitu na milima ya hifadhi kama:
  • Milima ya Mahale
  • Msitu wa Amani

Tuna mlima kilimanjaro mlima wa pili kwa urefu duniani,

Tanzania, nchi yenye mandhari ya kuvutia na utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inajivunia kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wake kutokana na sekta mbalimbali kama madini, gesi asilia, kilimo, utalii, uvuvi, misitu, nishati, na mafuta. Rasilimali hizi zimeweza kusaidia katika kukuza uchumi na kutoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania.

Katika sekta ya madini, Tanzania imekuwa mzalishaji mkubwa wa dhahabu barani Afrika. Maeneo maarufu ya uchimbaji wa dhahabu ni pamoja na

1. Geita Gold Mine – Geita
2. North Mara Gold Mine – Mara
3. Bulyanhulu Gold Mine – Shinyanga
4. Buzwagi Gold Mine – Shinyanga
5. Williamson Diamond Mine (Mwadui) – Shinyanga
6. Mererani Mines – Manyara
7. Kabanga Nickel Project – Kagera/Kigoma
8. Mnazi Bay Gas Field – Mtwara/Ruvuma
9. Liganga Iron Ore Mine – Njombe
10. Mchuchuma Coal Mine – Njombe
11. Stamigold Mine – Biharamulo (Kagera)
12. Ngaka Coal Mine – Ruvuma
13. Nyanzaga Gold Project – Mwanza
14. Buckreef Gold Mine – Geita
15. Itetemia Gold Mine – Mwanza
16. Tulawaka Gold Mine – Kagera

Tanzanite, madini ya kipekee yanayopatikana tu nchini Tanzania, hasa katika eneo la Mererani, yana thamani kubwa kwenye soko la kimataifa

Gesi asilia ni mojawapo ya rasilimali zinazochipukia kwa kasi. Maeneo kama Mtwara na Lindi yanaonekana kuwa na hazina kubwa ya gesi asilia ambayo inaweza kuleta mapato makubwa kwa taifa,

Tuna
ziwa victoria
ziwa nyasa
ziwa Tanganyika
Bahari ya Hindi

tuna mto Rufiji na mto pangani ambayo ni kwaajili ya uzalishaji umeme mkubwa

mtu kama Museven anatamani sana apate bandari kubwa kama Tanzania

tanzania tuna bandari kubwa na ndogo kama ifutavyo

Hizi ni bandari kuu na za kati zinazopatikana nchini Tanzania:

Bandari Kuu (Major Ports):
1. Bandari ya Dar es Salaam* – Dar es Salaam
2. Bandari ya Tanga* – Tanga
3. Bandari ya Mtwara* – Mtwara

Bandari Ndogo/Msadizi (Minor Ports)
4. Bandari ya Bagamoyo* – Pwani (inapangwa kuwa ya kisasa)
5. Bandari ya Kilwa – Lindi
6. Bandari ya Lindi – Lindi
7. Bandari ya Mafia – Kisiwa cha Mafia
8. Bandari ya Zanzibar – Unguja (ingawa ni sehemu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar)
9. Bandari ya Pemba (Mkoani na Wete) – Pemba
10. Bandari ya Kigoma – Ziwa Tanganyika
11. Bandari ya Kasanga – Ziwa Tanganyika (Rukwa)
12. Bandari ya Mwanza (South & North Ports)* – Ziwa Victoria
13. Bandari ya Musoma – Ziwa Victoria
14. Bandari ya Bukoba – Ziwa Victoria
Sasa hayo madini si mali ya akina rastam azizi?
 
IMG_8067.jpeg

Akili ni nywele na kila mtu anazake, yule mwamba alikuwa anasema sisi ni matijiri; huyu bibi anasema sisi maskini.
 
Back
Top Bottom