Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo.
Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa kitendo walichokifanya Jana naomba (KLABU YA SIMBA NA MASHABIKI WAO) WAFUNGIWE MILELE KUTOTUMIA UWANJA WA TAIFA.
Hii italeta funzo Kwa Mashabiki wote na Klabu zao kuhemeshimu rasimalimali za TAIFA
Pia Adhabu kama hiyo itapelekea Klabu kuweza kujenga viwanja vyake.
Mwisho uwanja wa TAIFA umejengwa Kwa Kodi za wa Tanzania hivyo tuna teseka kuona kuona Kodi zetu zinachezewa na kikundi cha watu wachache..
Kama wanaweza waende wakafanye hizo vurugu zao kwenye uwanja wa AZAM COMPLEX