Sasa darasa la saba kwa ulimwengu wa leo 2014 nayo utasema elimu au mapito ya elimu.Hebu acha ujinga wewendiyo chanzo chakuwa na mbunge kazi kuuza ardhi tuu kusaini mikataba hata haina kichwa wala miguu.Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Hivi darasa la saba si ndo hawa wanaopiga meza kila kitu hata kama hawaelewi
Kama wana hoja nzuri basi wawape wabunge wao ambao wanaruhusiwa kisheria wakazitoe huko bungeni, sio lazima kila mwenye hoja nzuri agombee ubunge. Hata mimi nina hoja nzuri kama hii, lakini nikiona inasaidia taifa sina haja ya kugombea ubunge, bali nitampa mbunge wangu akaongee hukoHajakosea kuna watu wana darasa la 7 au chini ya hapo lakini katika fani za kisiasa wana hoja nzuri sana za kuweza kuchangia na kutetea hoja zao., tunao hawo watu katika jamii zetu za Tz ambao by nature wana personality hiyo wapewe nafasi wakatuwakilishe jamani si kama baadhi ya wabunge mule bungeni kazi ni ndiooo tuu.,
Mkuu, tunaomba mfano halisi wa Mbunge, at least one or two names, wa JMT ambaye ni std 7 lkn yupo smart as you try to describe them, pls.....!!
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Mwenye haki ya kuchagua awe na haki ya kuchaguliwa.mbona kuna maprofesa bungeni wengine mawaziri lakini mizigo.
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Nyie darasa la saba ndio kazi yenu kusemasema ujinga tu bungeni kwa kukosa elimu. Ukitaka uongozi soma enzi ya watu kuongozwa na watu wajinga karibu inamalizika.Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge