Rasimu imejaa ubaguzi mtupu mtaipinga popote pale

Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Sasa darasa la saba kwa ulimwengu wa leo 2014 nayo utasema elimu au mapito ya elimu.Hebu acha ujinga wewendiyo chanzo chakuwa na mbunge kazi kuuza ardhi tuu kusaini mikataba hata haina kichwa wala miguu.
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Aminangalo acha uchochezi. Nadhani hata rasimu yen yews haujaisoma. Isome, imeandikwa kwa lug ha yetu adhimu ya Kiswahili. Mimi bardo naendelea kuisoma. Moja ya sifa ya kugombea ni ujue kusoma kiswahili au kiingereza. Wewe Kiswahili kusoma unajua. Labda pinga kingpins.
 
unataka kuniambia kwamba , JUMA NKAMIA , JOHN KOMBA NA MAJI MAREFU hawatarudi tena bungeni ?
 
Pole sana mama!
kiukweli std VII enzi zake zimeptwa,kama damu yako ina chembechembe ya siasa nenda kagombee uenyekiti wa mtaa.
Tunahtaji Bunge la weledi na hata hao frm IV bado hawafai kama jahazi lenyewe ni MV div5!!
 
Kila mtu anahaki ya kugombea cheo chochote,kwa hilo sikuballiana na Warioba, kama suala ni kiingereza basi katiba iseme serikali ifundishe kiingereza hadi mtu wa darasa la saba aongee na kuandika kiingereza vizuri. Sio kuwanyima haki kwa mfumo mbovu wa elimu. KILA MTU ANAHAKI HATA KAMA HAKUSOMA, tangu mmesoma mmesaidia nini ambacho wadai uhuru ambao hawakusoma hawakuffanya???
 
Nakubaliana na mleta hoja! Kiongozi huwa anazaliwa si hawa wa kutengenezwa na mifumo ya western...Mzee Mtandika hakukanyaga shule lakini wakati wa uongozi wake mambo yalikuwa safi! aliwazidi kwa mbali hadi wakuu wengi wa mikoa ... Hawa wasomi kama akina prof Muhongo ni janga kwa rasilimali zetu! Wanakula kizungu, wanavaa kizungu, wanalamba chumvi kizungu, wanatembea kizungu, kizungu kimewajaa hadi kwenye kicheko na matamshi... kamwe hawako kwa maslahi yetu bali kwa maslahi ya wazungu ...Tunahitaji waaminifu waadilifu wazalendo zaidi ...
 
Hajakosea kuna watu wana darasa la 7 au chini ya hapo lakini katika fani za kisiasa wana hoja nzuri sana za kuweza kuchangia na kutetea hoja zao., tunao hawo watu katika jamii zetu za Tz ambao by nature wana personality hiyo wapewe nafasi wakatuwakilishe jamani si kama baadhi ya wabunge mule bungeni kazi ni ndiooo tuu.,
Kama wana hoja nzuri basi wawape wabunge wao ambao wanaruhusiwa kisheria wakazitoe huko bungeni, sio lazima kila mwenye hoja nzuri agombee ubunge. Hata mimi nina hoja nzuri kama hii, lakini nikiona inasaidia taifa sina haja ya kugombea ubunge, bali nitampa mbunge wangu akaongee huko
 
Mkuu, tunaomba mfano halisi wa Mbunge, at least one or two names, wa JMT ambaye ni std 7 lkn yupo smart as you try to describe them, pls.....!!

Kwenye bunge la JMT hakuna std 7 ndo mana jamaa akasema iwekwe hiyo sheria pia ili na wa std 7 nawo wenye upeo wa kisiasa na kujenga hoja wakionekana ktk jamii wapewe nafasi kuingia bungeni kwa kuchaguliwa na wananchi.,

ukiniambia nikutajie katika jamii zetu wapo wengi sn mbona mmoja ni mm nimeishia la 4 tu., namshinda mchungaji Piter msigwa na mwigulu wa CCM kwa hoja zao.,
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Mkuu nadhani ufahamu maana ya elimu, katika karne hii tunahitaji mtu mwenye fikra sahihi kukaa kwenye nafasi ya uongozi. Ukiruhusu Darasa la saba awe mbunge iko siku atafanya mahamuzi ya ajabu utashangaa. Pia elimu haina mwisho, kuna fursa nyingi za kujiendeleza. Ukitaka kujua impact ya darasa la saba, fungua kampuni yako then umpe nafasi nyeti aiendeshe
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Njoo usome QT fasta afu utagombea 2020, Mwenzio Dalali wa Simba S.C tunamfundisha.
 
Mwenye haki ya kuchagua awe na haki ya kuchaguliwa.mbona kuna maprofesa bungeni wengine mawaziri lakini mizigo.

Mkianza kuzungumzia haki za binadamu tu bila kutanua tafakuri zenu mnajitengenezea mgogoro wenyewe.

Msingi mkuu wa haki za binadamu ni binadamu wote huzaliwa huru na wote ni sawa, sasa tuambiane mbona mnajikita tu katika nafasi za kisiasa? Katiba na sheria za nchi zimeweka masharti mbalimbali ikiwamo kigezo cha umri na uzoefu katika nafasi nyingi tu mbona huko hamuendi? Zungumzieni basi pia kila binadamu raia wa JMT pia apige kura na kushika madaraka hata ya urais, hata wale ndugu zetu wa mirembe nao muwasemee maana sheria nyingi tu zinawabagua.

Haki huendana na wajibu, haki pasipo utaratibu na kanuni ni vurugu.
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Exactly umeonyesha kwa nini darasa la saba waondelewe. kwani kuwasemea/kuwatetea waTz lazima uwe mbunge??? Huo uzalendo wanaounyesha wabunge wa darasa la saba mpaka sasa uko wapi??? au mitusi wanayoiporosha bungeni ndo uzalendo kwako.
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Nyie darasa la saba ndio kazi yenu kusemasema ujinga tu bungeni kwa kukosa elimu. Ukitaka uongozi soma enzi ya watu kuongozwa na watu wajinga karibu inamalizika.
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Hii kitu ni muhimu Bwana hatutaki wabunge vilaza ambao hawawezi kuhoji lolote kutokana na upeo wao wa mambo kuwa mdogo. Elimu kwa wabunge ni muhimu wala sio ubaguzi.

Tiba
 
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

lirushwapo jiwe porini au gizani atakayelia ndo mlengwa haswaa,ww ni la saba?utakoma
 
Back
Top Bottom