theki
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,721
- 585
Sasa darasa la saba kwa ulimwengu wa leo 2014 nayo utasema elimu au mapito ya elimu.Hebu acha ujinga wewendiyo chanzo chakuwa na mbunge kazi kuuza ardhi tuu kusaini mikataba hata haina kichwa wala miguu.Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm