Ibara ya 113 ibara ndogo ya 3 ibadilishwe, badala ya kusomeka "katika kila jimbo la uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili ya mwanamme", badala yake isomeke kuwa "Katika kila jimbo la uchaguzi kutakuwa na nafasi moja ya ubunge nafasi moja ya ubunge, na mbunge atachaguliwa bila kuzingatia jinsia yoyote"
Fursa zimeshatolewa kwa wanawake kushindania nafasi za ubunge, hivyo hakuna haja ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge kutafuta balance