Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

hii isipopigwa chini tena sijuwii nimemsikia warioba akiichambua kikubwa ni kuhusu muundo wa serikali tatu amepitisha.wenye nayo tunaomba mtupie humu tujionee
 
Kweli wewe ni Profesa ahsante mkuu kwa kutuletea kitu fasta, ubarikiwe na jf pia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom