Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Kwako Mhe Raisi
Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba.
Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi.
Pia hii itakuwa heshima kubwa kwako na utaishi kwenye mioyo ya watanzania kama Abraham Lincoln alivyo kwa wamarekani. Hii ndio legacy inayodumu.
Asante.