battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Katibs pendekeza siyo ile ya Warioba, hii ni rasimu ya chenge,Katiba pendekezwa imemaliza miaka 6, kuna mapendekezo mengine yameshaexpire , hyo inatakiwa iwekwe kwenye dustbin tuanze mchakato upya
Ya Warioba ni ya wananchi halisia kabisa.