Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Katiba pendekezwa ni maoni ya ccm. Wananchi walitoa maoni na yaheshimiweHakuna rasimu ya Warioba kuna Katiba Pendekezwa
Mkuu unaweza kuweka hapa yaliyopitwa na wakati?Katiba pendekezwa imemaliza miaka 6, kuna mapendekezo mengine yameshaexpire , hyo inatakiwa iwekwe kwenye dustbin tuanze mchakato upya
Sasa tumeanza kuongea LUGHA moja, U made my Sunday. KATIBA mpya ni sasa. AmenKwako Mhe Raisi
Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba.
Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi.
Pia hii itakuwa heshima kubwa kwako na utaishi kwenye mioyo ya watanzania kama Abraham Lincoln alivyo kwa wamarekani. Hii ndio legacy inayodumu.
Asante.
Naunga mkono hoja!Kwako Mhe Raisi

CCM watapinga mapema asubuhi, hata kabla ya jua kuchomoza! Kisa tu ilipendekeza uwepo wa Serikali tatu, badala ya hizi mbili za sasa.Kwako Mhe Raisi
Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba.
Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi.
Pia hii itakuwa heshima kubwa kwako na utaishi kwenye mioyo ya watanzania kama Abraham Lincoln alivyo kwa wamarekani. Hii ndio legacy inayodumu.
Asante.
Je! likaibuka kundi la watu na kudai hayo hayakuwa maoni ya wananchi bali yalichakachuliwa na tume? ndio maana Mama anasisitiza jambo la kwanza la muhimu ni kuaminiana kwanza.Mkuu unaweza kuweka hapa yaliyopitwa na wakati?
Rasimu alosimamia Mzee WARIOBA, Irudishwe mezani tujadili, Itafika point TUTAELEWANA kama Watanzania. Nchi hii Si MALI ya CCM, ni ya Watanzania.CCM watapinga mapema asubuhi, hata kabla ya jua kuchomoza! Kisa tu ilipendekeza uwepo wa Serikali tatu, badala ya hizi mbili za sasa.
Kweli mkuu, katiba mpya ni sasa.Sasa tumeanza kuongea LUGHA moja, U made my Sunday. KATIBA mpya ni sasa. Amen
Uko sahihi mkuu, lazima tufuate maoni ya wananchi.Naunga mkono hoja!
Rasimu ya Warioba ndo imebeba maoni ya umma..
Ile Katiba Pendekezwa ni utopolo batili wa kikundi cha watu fulani🙄
Wakiibuka kutokea wapi? Waweke ushahidi mezani ili upimwe,Je! likaibuka kundi la watu na kudai hayo hayakuwa maoni ya wananchi bali yalichakachuliwa na tume? ndio maana Mama anasisitiza jambo la kwanza la muhimu ni kuaminiana kwanza.
Kwanini uraisi uwe bye bye? Akipitisha katiba Ile ya Warioba atapendwa sana na watanzania na kura atazipata.Samia akisikia hivyo anajua urais bye bye. Akisikia hivyo ana pupuuu, puuu... Hawezi kuruhusu bila pressure kubwa. CHADEMA wasijidanganye.
Huwa sielewi ni kwa namna gani ccm wanaona hawatanufaika na katiba IleCCM watapinga mapema asubuhi, hata kabla ya jua kuchomoza! Kisa tu ilipendekeza uwepo wa Serikali tatu, badala ya hizi mbili za sasa.
Kwanini uraisi uwe bye bye? Akipitisha katiba Ile ya Warioba atapendwa sana na watanzania na kura atazipata.
Ccm inapendwa bado hasa maeneo yenye umasikini na ujinga. Ila Samia akipitisha katiba mpya ya jaji warioba watu wengi hasa wasomi watamchagua. Ccm itapoteza zaidi kwenye wabunge.Nani aipende CCM? Unaishi nchi gani?
Katiba ya 1977 bado inatufaaKwako Mhe Raisi
Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba.
Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi.
Pia hii itakuwa heshima kubwa kwako na utaishi kwenye mioyo ya watanzania kama Abraham Lincoln alivyo kwa wamarekani. Hii ndio legacy inayodumu.
Asante.
Kwahiyo kikwete alikurupuka kuunda tume na watanzania wote ni vilaza kutoa maoni ya katiba mpya?Katiba ya 1977 bado inatufaa