battawi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,577 May 22, 2022 #21 Slowly said: Katiba pendekezwa imemaliza miaka 6, kuna mapendekezo mengine yameshaexpire , hyo inatakiwa iwekwe kwenye dustbin tuanze mchakato upya Click to expand... Katibs pendekeza siyo ile ya Warioba, hii ni rasimu ya chenge, Ya Warioba ni ya wananchi halisia kabisa.
Slowly said: Katiba pendekezwa imemaliza miaka 6, kuna mapendekezo mengine yameshaexpire , hyo inatakiwa iwekwe kwenye dustbin tuanze mchakato upya Click to expand... Katibs pendekeza siyo ile ya Warioba, hii ni rasimu ya chenge, Ya Warioba ni ya wananchi halisia kabisa.
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 May 22, 2022 Thread starter #22 battawi said: Katibs pendekeza siyo ile ya Warioba, hii ni rasimu ya chenge, Ya Warioba ni ya wananchi halisia kabisa. Click to expand... Huyo jamaa anajitoa ufahamu kwa makusudi.
battawi said: Katibs pendekeza siyo ile ya Warioba, hii ni rasimu ya chenge, Ya Warioba ni ya wananchi halisia kabisa. Click to expand... Huyo jamaa anajitoa ufahamu kwa makusudi.