Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Ikulu iwe Mtwara..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makao makuu ya Tanganyika yalikuwa Dar es Salaam na yatarudi kuwa Dar es Salaam. Dodoma ni makao makuu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaia.Kufuatia kukamilika kwa Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Muungano wa Tanzania, mambo kadhaa yanaendelea kujitokeza ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi. Moja ambalo mimi naliona ni kwamba kama tutaunda Taifa la Tanganyika na hakuna ubishi lipo njiani linakuja je, IKULU yake itakuwa wapi?? Serikali ya Muungano IKULU yake itakuwa wapi?????
Historia inatuonyesha kuwa pale MAGOGONI ni IKULU ya iliyokuwa Serikali ya Tanganyika. Sasa inarejea kwa kishindo na kukuta kuna Kiongozi wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano, je, Rais wa Serikali ya muungano atampisha mwenye nyumba yaani Tanganyika?? au mwenye nyumba aende Chamwino???
Scenario nyingine, Kama EL atagombea urais na kushinda kwa upande wa Tanganyika na Samweli Sitta akagombea ule wa muungano na akashinda, je EL atamwachia Sitta IKULU ya Magogoni yeye aende Tegeta?? Tunahitaji kuelezwa IKULU itakuwa ya nani, Tanganyika au Muungano? Lakini vilevile Tanganyika iko tayari kupokwa IKULU yake ya kihistoria??? Haya wanaJF
Mkuu haya ni baadhi ya mapungufu yaliyopo ndani ya Rasimu,kwa haraka hakuna mahali kumetajwa wapi patakuwa Makao makuu au Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Warioba na wajumbe wake bado wanakazi ya kufanya.[QUOTE said:Fugwe;6519629]Kufuatia kukamilika kwa Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Muungano wa Tanzania, mambo kadhaa yanaendelea kujitokeza ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi.
Historia inatuonyesha kuwa pale MAGOGONI ni IKULU ya iliyokuwa Serikali ya Tanganyika. Sasa inarejea kwa kishindo na kukuta kuna Kiongozi wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano, je, Rais wa Serikali ya muungano atampisha mwenye nyumba yaani Tanganyika?? au mwenye nyumba aende Chamwino???
Na jengo la bunge itakuwaje? Lile la Dodoma ni la Muungano, hakuna mjadala hapo, vipi lile jengo la zamani nalo ni la muungano? vinginevyo sasa bunge la Jamhuri ya Tanganyika litarejea Karimjee.
Na jengo la bunge itakuwaje? Lile la Dodoma ni la Muungano, hakuna mjadala hapo, vipi lile jengo la zamani nalo ni la muungano? vinginevyo sasa bunge la Jamhuri ya Tanganyika litarejea Karimjee.
Mkuu nilifikiri Dodoma ni makao makuu ya Jamhurti ya Muungano (na sasa shirikisho), kwa hiyo seriksli ya shirikisho itakuwa Dodoma. Tanganyika itabaki Dar es Salaam isivyo amliwe vinginevyo.Nadhani itakuwa vyema Rais wa Tanganyika moja kwa moja aanzie Chamwino, maana wakishanogewa na Dar es Salaam ule mpango wa Makao Makuu Dodoma utaendelea kuwa hadithi mpaka kiama. Rais wa Muungano apangishwe kwa muda mchache pale Magogoni karibu na eno lake la Utawala la Zanzibar, by the way sidhani ata kama Rais huyo wa Muungano ataweza kudumu ata kwa miaka 5...
Hivyo vilivyojengwa ndani ya muungano ni vya tz ni kodi za pande zote ni vyetu sote.JMT bado haina ASSET yoyote. Ardhi yote na vyote vilivyomo TANGANYIKA ni vya Tanganyika kama ilivyo kwa Zanzibar.
Tanganyika itakapofufuka, itabidi turudishiwe kila kitu kinachodaiwe eti cha Muungano. Vingi vilikuwa vya Tanganyika. Zanzibar haijawahi kuwekeza katika ujenzi au ufanikishaji wa chochote. Hata Benki kuu, Viwanja vya ndege, Majengo, Kampuni ya simu TTCL, ya Reli TRL, na vinginevyo. Kama tuna ushahidi wa uchangiaji wa Zanzibar, uwekwe wazi ili Tuweze kupanga umiliki wa share na mengineyo.
Hapa naona dalili ya ugomvi mkubwan mbeleni... Unaoweza kutuingiza katika vita..
Naomba kurekebishwa..
Kufuatia kukamilika kwa Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Muungano wa Tanzania, mambo kadhaa yanaendelea kujitokeza ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi. Moja ambalo mimi naliona ni kwamba kama tutaunda Taifa la Tanganyika na hakuna ubishi lipo njiani linakuja je, IKULU yake itakuwa wapi?? Serikali ya Muungano IKULU yake itakuwa wapi?????