Rasimu ya katiba: Ikulu itakuwa ya Tanganyika au muungano?

Haya mambo ya muungano hayhitaji kuwekewa ikulu tena bali iwe ni ofisi tu ya kwaida ambayo itakuweko tanganyika na Zanzibar itakuwepo, kuwe kuna chairman wa muungano kutoka kila upande.
 
Hivyo vilivyojengwa ndani ya muungano ni vya tz ni kodi za pande zote ni vyetu sote.
Lkn znz kwanz twataka nchi kamili yatakuja kujadiliwa yanazungumzika lkn znz sovereign has
no compromise

Unamaanisha 50%/50% au unamaanisha nini kusema vya Muungano vyetu sote??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…