Rasimu ya katiba mpya imeruhusu ndoa za jinsia moja?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Ibara zote 240 za rasimu ya katiba ziko kimya kabisa juu ya suala la ndoa, mahusiano ya kimapenzi na familia.

Je, ukimya huo hautakuwa upenyo kwa watu wanaotetea masuala ya ndoa/mahusiano ya kimapenzi kwa watu wa jinsia moja?

Katika ibara ya 24 (2) na (3), rasimu inatoa haki sawa kwa wote, na kukataza utungwaji wa sheria yeyote itakayowabagua watu.
Nanukuu:

"(2) Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu, mamlaka ya nchi au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika kutekeleza kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi.
(3) Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake."

Je, vipengele hivi havitatumika na watetea ndoa za jinsia moja, dhidi a sheria yeyote ya ndoa itakayoacha kuwatambua?

Ieleweke kuwa suala la ndoa za jinsia moja limekuwa kama 'utamaduni' katika dini fulani. Pamoja na rasimu ya katiba kueeza kuwa haki za kidini zitalinda pamoja na mambo mengine, maadili ya taifa

ie.. Ibara ya 31 (4)... "Hifadhi ya haki zilizotajwa katika Ibara hii itakuwa chini ya taratibu zilizowekwa na sheria ambazo ni muhimu katika jamii ya kidemokrasia kwa ajili ya usalama, amani, maadili na umoja wa jamii na wa kitaifa na vitasimamiwa kwa utaratibu ulioainishwa kwenye sheria za nchi".

Lakini neno maadili halijapewa ufafanuzi mahali popote katika rasimu hii, hivyo itakuwa vigumu kukitumia kipengele hiki kukataa ushoga nk...

Ikumbukwe kwamba rasimu hii imetoa ruksa kwa dini na uhuru wa mtu kuabudu na kufuata mambo ya dini husika
Ibara 31 (1)... Kila mtu anao uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani yake au kutokuwa na imani na dini.

Wakuu nyie mnaonaje?... Naomba kueleweshwa kama hii rasimu ina kipengele ambacho kinadhibiti ndoa na mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja...
 
Hapa cuf watakuwa wamefurahishwa na rasimu hii maana waliberali ndo zao!
 
Good man, you have good points, perhaps the Draft Constitution to some extent is lacking some sort of consistency ndio maana unakutana na vifungu kama vinapingana kwa kiasi kikubwa:

Hebu soma hapa: Article 11 (3) (b) (ii) says "....kuhakikisha kwamba Serikali na vyombo vyake vyote vya umma vinatoa nafasi na fursa zilizo sawa kwa raia wote, bila ya kujali rangi, kabila, dini, nasaba, hali ya mtu au mahali alipo;

Now, ukikaa vizuri tafsiri za hapo juu unaweza kuona ni kwa kiasi gani serikali, except where it is expressly providided otherwise, haitatakiwa kubagua watu wake based, let's assume, on sex orientation...!!

However, let's expect that the judiciary will uphold the Tanzanian pride and culture which do not allow homophobia stuff.
 
Mkuu kwenye hiyo sentensi yako ya mwisho about upholding pride and culture,... Ni ngumu sana kuwa na consistency kwenye mambo ambayo hayajaandikwa. Ashykum sio matusi, itakuwaje kama kesi ya kwanza ya mambo ya ushoga hapa TZ ikaamuliwa na hakimu/jaji ambaye anainga mkono ushoga, au yeye mwenyewe ni shoga?... Hukumu aliyoandika si itakuwa referred sana kwenye kesi za namna hiyo?... Hakuna mahali ambapo "utamaduni" wa mtanzania umekataza ushoga..., papo?
 
Thank you Tuko, you're real great thinker. Ni muhimu Katiba itamke waziwazi kupiga marufuku suala hili hata kama tutakula majani kwa kukosa 'chambo' za kutoka kwa 'wafadhili'
 
Ibara zote 240 za rasimu ya katiba ziko kimya kabisa juu ya suala la ndoa, mahusiano ya kimapenzi na familia.

Je, ukimya huo hautakuwa upenyo kwa watu wanaotetea masuala ya ndoa/mahusiano ya kimapenzi kwa watu wa jinsia moja?

Katika ibara ya 24 (2) na (3), rasimu inatoa haki sawa kwa wote, na kukataza utungwaji wa sheria yeyote itakayowabagua watu.
Nanukuu:

"(2) Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu, mamlaka ya nchi au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika kutekeleza kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi.
(3) Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake."

Je, vipengele hivi havitatumika na watetea ndoa za jinsia moja, dhidi a sheria yeyote ya ndoa itakayoacha kuwatambua?

Ieleweke kuwa suala la ndoa za jinsia moja limekuwa kama 'utamaduni' katika dini fulani. Pamoja na rasimu ya katiba kueeza kuwa haki za kidini zitalinda pamoja na mambo mengine, maadili ya taifa

ie.. Ibara ya 31 (4)... "Hifadhi ya haki zilizotajwa katika Ibara hii itakuwa chini ya taratibu zilizowekwa na sheria ambazo ni muhimu katika jamii ya kidemokrasia kwa ajili ya usalama, amani, maadili na umoja wa jamii na wa kitaifa na vitasimamiwa kwa utaratibu ulioainishwa kwenye sheria za nchi".

Lakini neno maadili halijapewa ufafanuzi mahali popote katika rasimu hii, hivyo itakuwa vigumu kukitumia kipengele hiki kukataa ushoga nk...

Ikumbukwe kwamba rasimu hii imetoa ruksa kwa dini na uhuru wa mtu kuabudu na kufuata mambo ya dini husika
Ibara 31 (1)... Kila mtu anao uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani yake au kutokuwa na imani na dini.

Wakuu nyie mnaonaje?... Naomba kueleweshwa kama hii rasimu ina kipengele ambacho kinadhibiti ndoa na mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja...

1. Tuko, ni kweli unavyosema. Kumbuka hata Katiba ya sasa (1977) haijasema lolote kuhusu ndoa na hakuna sheria Tanzania inayoruhusu ndoa za jinsia moja.
2. Kwa kawaida Katiba inatoa mwongozo wa jumla kuhusu mwelekeo wa sheria zitakazokuwa zinatungwa na Bunge ili ziendane na Katiba ya nchi. Katiba haiwezi kusema kila kitu na ndiyo maana zinatungwa sheria zingine zitakazotoa ufafanuzi zaidi ya kile kilichosemwa kwenye Katiba.
3. Nami nimejaribu kupitia vifungu mbalimbali vya Rasimu ya Katiba na napenda kuonesha yafuatayo:
Tunu za Taifa:5. Jamhuri ya Muungano itaenzi na kuzingatia Tunu za Taifa zifuatazo:
(a) utu
(b) uzalendo
(c) uadilifu
(d) umoja
(e) uwazi
(f) uwajibikaji na
(g) lugha ya Taifa.

Watu na Serikali:
7(1) Muundo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo
vyake, katika uendeshaji na utekelezaji wa shughuli zake,utazingatia azma ya kukuza umoja wa kitaifa na kudumisha heshima ya Taifa.
(2) Kwa madhumuni ya masharti ya Ibara ndogo (1), mamlaka ya nchi na vyombo vyake vinawajibika kuelekeza sera na shughuli zake zote kwa lengo la kuhakikisha kwamba:

(a) utu na haki nyingine zote za binadamu zinaheshimiwa na kuthaminiwa
(g) utu, heshima na haki nyingine zote za binadamu zinahifadhiwa na kudumishwa kwa kuzingatia mila na desturi za kitanzania na kwa kufuata mikataba mbalimbali iliyoridhiwa na Jamhuri ya Muungano

Malengo makuu:
11(1) Lengo Kuu la Katiba hii ni kulinda, kuimarisha na
kudumisha udugu, amani, umoja na utengamano wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano kwa kuzingatia ustawi wa wananchi na kujenga Taifa huru lenye demokrasia, utawala bora na kujitegemea.

(b) kijamii, Serikali inachukua hatua zinazofaa ili:
(i) kuhakikisha kwamba heshima ya binadamu
inahifadhiwa na kudumishwa kwa kufuata mila, desturi na Kanuni za Tangazo la Dunia kuhusu Haki za Binadamu na mikataba mingine ya kimataifa iliyoridhiwa na Tanzania

Haki na Wajibu muhimu: 50(5) Ili watu wote wafaidi haki na uhuru uliotajwa katika Katiba hii, kila mtu anao wajibu wa kutenda na kuendesha shughuli zake kwa namna ambayo haitaingilia haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.

Kwa hiyo, ukiviweka pamoja vifungu hivi, ni dhahiri kwamba hakuna sheria itakayotungwa kuhalalisha ndoa za jinsia moja kwa sababu itakuwa imekiuka:
1) tunu za taifa
2) mila na desturi za Kitanzania
3) malengo makuu ya Katiba
4) haki na wajibu muhimu
5) kukuza umoja wa kitaifa na kudumisha heshima ya Taifa kama ilivyoainishwa katika Rasimu ya Katiba Mpya.
 
Mkuu Magobe T hakutakuwa na sheria ya kuhalalisha, lakini kwa kuwa katiba haijasema kuwa ndoa au mahusiano ya kimapenzi yatakuwa kati ya wanaume na wanawake, then umewaacha uwanja watu watakaoamua kufanya hivyo. Kumbuka atakuja mtu, atasema dini yake inaruhusu, au itikadi yake inaruhusu. Katiba imasema mtu asibaguliwe, sheria zinazolenga ubaguzi zisitungwe, na katika ibara ya 11 uliyonukuu hapo juu, haki za binadamu kwa mujibu wa mikataba ya dunia zizingatiwe. Je, akija mwanaume amefunga ndoa na mwanaume mwenzake, kwa taratibu ya "dini" yake na akataka ukitambue cheti chake cha ndoa, utatumia kigezo gani kukikataa, bila kumbagua?....
 
Last edited by a moderator:
Chama cha kileberali kinasapoti ushoga ila serikali ya tz haikubali ndoa hzo.
 
Good man, you have good points, perhaps the Draft Constitution to some extent is lacking some sort of consistency ndio maana unakutana na vifungu kama vinapingana kwa kiasi kikubwa:

Hebu soma hapa: Article 11 (3) (b) (ii) says "....kuhakikisha kwamba Serikali na vyombo vyake vyote vya umma vinatoa nafasi na fursa zilizo sawa kwa raia wote, bila ya kujali rangi, kabila, dini, nasaba, hali ya mtu au mahali alipo;

Now, ukikaa vizuri tafsiri za hapo juu unaweza kuona ni kwa kiasi gani serikali, except where it is expressly providided otherwise, haitatakiwa kubagua watu wake based, let's assume, on sex orientation...!!

However, let's expect that the judiciary will uphold the Tanzanian pride and culture which do not allow homophobia stuff.
Kwanza napenda kuwa mmoja wa wanajamii forum katika kuchangia mawazo katika kuendeleza jukwaa zima la kuelimishana ama kukosoana katika kujenga jamii inayojielewa.

Ni vyema tunapoangalia suala hili la ndoa ya jinsia moja tukaliangalia kwa upana, serikali ki ukweli haina dini na pia inatoa uhuru kwa watu wote kuishi kwa usawa, sina utaalamu wa sheria lakini hata kwenye katiba tuliyo nayo ibara ya 16 haikuzungumzia kuhusu mambo ya ndoa, ukisoma pale utaona kila mtu ana haki kuishi na namna ya kuwa na haki ya faragha.
Sasa kwa upande wangu nadhani kuwa suala la ndoa libaki lilivyo kwenye Law of Marriage Act ambayo ndiyo inayoongoza maadili yetu ya ndoa kuanzia za kimila hadi kiserikali lakini hamna sehemu ilyoruhusu kuwa na ndoa ya jinsia moja kwani hairuhusiwi kabisa. Tukianza kuweka ndoa kwenye katiba basi tutataka hata sheria za ndani ya ndoa mnapooana ziandikwe kwenye katiba, hii ipo already kwenye Law of Marriage Act ya Tanzania - Ndoa halali ni kati ya mwanaume na mwanamke. Tukirudi kwenye Sheria ya ndoa ya Tanzania kifungu cha 9 (1) kinasema wazi kuwa ndoa ya jinsia moja hairuhusiwi hata kubadili jinsia kwa Tanzania hairuhisiwi hivyo sidhani kama hili lina nafasi kubwa kwenye katiba yetu kwani lina mhimili wake mzuri. Tatizo ni kuwa hatufuatilii sheria zetu kwa umakini na zinapovunjwa huwa hazisimamiwi ipasavyo na vyombo husika, watu wanacollude n.k wewe angalia tu sheria ya kumpa mwanafunzi mimba imebaki mdomoni tu, leo hii watu wanafanya mapenzi na watoto wao hata wa kuwazaa sheria zipo lakini hazifanyi kazi.....
 
Well said
 
Nadhani tunatakiwa sheria mbadala kwa watu wa namna hii kuwatenga na jamii na kuwanyima haki ya usawa kwa kudhalilisha utu wetu labda tutaweza kulifuta. Ndoa haiwezi kuzungumziwa kwenye katiba kwani tuna law of marriage inayopinga hili hata kubadili jinsia hairuhusiwi,usimamiaji naona umewekwa kapuni ndiyo maana tunaendelea kuwa taifa lisilo na mwelekeo kwani uso mungu upo mbali nasi..
 
Mkuu Magobe T hakutakuwa na sheria ya kuhalalisha, lakini kwa kuwa katiba haijasema kuwa ndoa au mahusiano ya kimapenzi yatakuwa kati ya wanaume na wanawake, then umewaacha uwanja watu watakaoamua kufanya hivyo. Kumbuka atakuja mtu, atasema dini yake inaruhusu, au itikadi yake inaruhusu. Katiba imasema mtu asibaguliwe, sheria zinazolenga ubaguzi zisitungwe, na katika ibara ya 11 uliyonukuu hapo juu, haki za binadamu kwa mujibu wa mikataba ya dunia zizingatiwe. Je, akija mwanaume amefunga ndoa na mwanaume mwenzake, kwa taratibu ya "dini" yake na akataka ukitambue cheti chake cha ndoa, utatumia kigezo gani kukikataa, bila kumbagua?....

Tuko, rejea kwenye hayo nilyoeleza hapo juu. Katiba haiwezi kuzungumzia kile kitu. Maana utataka kusema pia mambo ya uvuvi wa kutotumia sumu, pollution, matusi ya nguoni, uvaaji wa mavazi, uendeshaji wa magari barabarani, usafiri wa wanafunzi, uangaliaji wa vipindi kwenye luninga, matumizi ya internet, utungaji wa vitabu, uandikaji wa habari na mambo mengine. Haya yote yatatungiwa sheria zingine lakini si lazima kila kitu kielezwe kwenye Katiba. Kuhusu hayo niliyosema hapo juu yanalezea kuhusu "utamaduni na mila za Kitanzania." Kama ushoga siyo sehemu ya utamaduni na mila za Kitanzania. Ina maana kwamba kama sheria kama hiyo itatungwa maana itakuwa inakiuka "utamaduni na mila za Kitanzania" na hivyo itakuwa kinyume cha Katiba.
 
Rasimu ya katiba mpya haijaruhusu ndoa za jinsia moja kwa sababu hii ni rasimu ya kwanza kwa hiyo haijagusa vitu vyote vilivyopendekezwa. Kwa hiyo tusubiri rasimu ya pili tuone kama itazungumzia suala hilo.
 
Mkuu Magobe T hakutakuwa na sheria ya kuhalalisha, lakini kwa kuwa katiba haijasema kuwa ndoa au mahusiano ya kimapenzi yatakuwa kati ya wanaume na wanawake, then umewaacha uwanja watu watakaoamua kufanya hivyo. Kumbuka atakuja mtu, atasema dini yake inaruhusu, au itikadi yake inaruhusu. Katiba imasema mtu asibaguliwe, sheria zinazolenga ubaguzi zisitungwe, na katika ibara ya 11 uliyonukuu hapo juu, haki za binadamu kwa mujibu wa mikataba ya dunia zizingatiwe. Je, akija mwanaume amefunga ndoa na mwanaume mwenzake, kwa taratibu ya "dini" yake na akataka ukitambue cheti chake cha ndoa, utatumia kigezo gani kukikataa, bila kumbagua?....
Mkuu Tuko hakuna dini inayoahidi watu ahera inaruhusu ushoga ila uliberali ndio unaruhusu. Vitabu vyetu vitakatifu biblia na kuruani vinalaani ushoga na mashoga. Biblia: Walawi 20:13 'Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakua juu yao' Wakorintho 1, 6:9-10 'Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa mungu? Msidanganywe; waasherati hawataurithi ufalme wa mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.'
 
Kwanza napenda kuwa mmoja wa wanajamii forum katika kuchangia mawazo katika kuendeleza jukwaa zima la kuelimishana ama kukosoana katika kujenga jamii inayojielewa.

Ni vyema tunapoangalia suala hili la ndoa ya jinsia moja tukaliangalia kwa upana, serikali ki ukweli haina dini na pia inatoa uhuru kwa watu wote kuishi kwa usawa, sina utaalamu wa sheria lakini hata kwenye katiba tuliyo nayo ibara ya 16 haikuzungumzia kuhusu mambo ya ndoa, ukisoma pale utaona kila mtu ana haki kuishi na namna ya kuwa na haki ya faragha.
Sasa kwa upande wangu nadhani kuwa suala la ndoa libaki lilivyo kwenye Law of Marriage Act ambayo ndiyo inayoongoza maadili yetu ya ndoa kuanzia za kimila hadi kiserikali lakini hamna sehemu ilyoruhusu kuwa na ndoa ya jinsia moja kwani hairuhusiwi kabisa. Tukianza kuweka ndoa kwenye katiba basi tutataka hata sheria za ndani ya ndoa mnapooana ziandikwe kwenye katiba, hii ipo already kwenye Law of Marriage Act ya Tanzania - Ndoa halali ni kati ya mwanaume na mwanamke. Tukirudi kwenye Sheria ya ndoa ya Tanzania kifungu cha 9 (1) kinasema wazi kuwa ndoa ya jinsia moja hairuhusiwi hata kubadili jinsia kwa Tanzania hairuhisiwi hivyo sidhani kama hili lina nafasi kubwa kwenye katiba yetu kwani lina mhimili wake mzuri. Tatizo ni kuwa hatufuatilii sheria zetu kwa umakini na zinapovunjwa huwa hazisimamiwi ipasavyo na vyombo husika, watu wanacollude n.k wewe angalia tu sheria ya kumpa mwanafunzi mimba imebaki mdomoni tu, leo hii watu wanafanya mapenzi na watoto wao hata wa kuwazaa sheria zipo lakini hazifanyi kazi.....

Asante kwa mchango wako mzuri mkuu. Lakini kumbuka katiba ni sheria mama, na baada ya kupitishwa rasimu hii kuwa katiba, sheria nyingi za nchi itabidi zifanyiwe marekebisho ili kukidhi matakwa ya katiba mpya. Katika hii rasimu kwenye ibara ya 24 (3) tunaambiwa:

(3) Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake."

Sasa ukisema sheria ya ndoa inaweka sharti kwamba ndoa ni lazima iwe ya mume na mke, wakati katiba haijasema hivyo, huoni utakuwa umekwenda kinyume cha katiba? Kama hujali hebu upitie comment niliyotoa kwa mchangiaji Magobe T hapa chini...
 
Tuko, rejea kwenye hayo nilyoeleza hapo juu. Katiba haiwezi kuzungumzia kile kitu. Maana utataka kusema pia mambo ya uvuvi wa kutotumia sumu, pollution, matusi ya nguoni, uvaaji wa mavazi, uendeshaji wa magari barabarani, usafiri wa wanafunzi, uangaliaji wa vipindi kwenye luninga, matumizi ya internet, utungaji wa vitabu, uandikaji wa habari na mambo mengine. Haya yote yatatungiwa sheria zingine lakini si lazima kila kitu kielezwe kwenye Katiba. Kuhusu hayo niliyosema hapo juu yanalezea kuhusu "utamaduni na mila za Kitanzania." Kama ushoga siyo sehemu ya utamaduni na mila za Kitanzania. Ina maana kwamba kama sheria kama hiyo itatungwa maana itakuwa inakiuka "utamaduni na mila za Kitanzania" na hivyo itakuwa kinyume cha Katiba.

Mkuu Magobe, asante kwa mchango.. Lakini kwa uelewa wangu kitu kinachoitwa "utamaduni na mila za kitanzania" ni dhana ya kufikirika zaidi. Haijaandikwa mahali popote (kama papo naomba unipe reference), na hakuna mamlaka yeyote ya kitaifa inayotunza kitu hicho.
Zipo tamaduni na mila ya mamia ya koo na makabila Tanzania, ambazo hutofautiana sana. Mathalani, ukekeketaji wa wanawake ni sehemu ya mila kwa baadhi ya makabila Tanzania.
Kule Mara, wakurya wana mila ambayo inaruhusu mwanamke kuoa mwanamke mwenzake, wanaita Mmba Ntobu (Najua nimelikosea hilo jina, naomba Mwita Maranya aje anisahihishe). Je, kesho wewe ukiwa katika mamlaka fulani, ukaletewa ushahidi kuwa mdada ameolewa na Mmama fulani kama Mmba Ntobu, hivyo status yake ni married, utaamuaje?
Kwenye kabila langu (may be ukoo wetu), kuna mila inaruhusu kuoza marehemu, nk...

Kule nchini Malawi, miezi kadhaa iliyopita walikuwa na debate ya ndoa za jinsia moja, na kwa kiasi fulani ikapelekea raisi Joyce Banda kulaumiwa. Lakini mi nadhani tatizo lilianzia kwenye katiba yao ambayo kwenye Ibara ya 22, inaongelea familia lakini haikubainisha ulazima kuwa ndoa ni mwanaume na mwanamke. Nainukuu:

(3) All men and women have the right to marry and found a family

Katiba hiyo ya Malawi ilikumbuka tu kuongelea kuhusu umri:

(8) The State shall actually discourage marriage between persons where either of them is under the age of fifteen years

Tulishuhudia nchini Uganda watu wakiandamana kudai haki ya kutambuliwa kwa ndoa za jinsia moja. Kigezo walichokuwa wanatumia kuwa katiba haijakataza ndoa hizo, wakirerefer Ibara ya 31 ya katiba yao ambayo inasema, nanukuu:

(1) Men and women of the age of eighteen years and above have the right to marry and to found a family and are entitled to equal rights in marriage, during marriage and at its dissolution

Hata hivyo serikali iliweza kuwadhibiti kwa kutumia kifungu kidogo cha 3 ambacho kinasema, nanukuu:
(3) Marriage shall be entered into with the free consent of the man and woman intending to marry

Hata hivyo, bado huko uganda suala hilo limekuwa na utata hadi sasa

Nchini Kenya, katiba kielelezo (rasimu ya katiba) ilipigwa chini katika kura ya maoni, nayo ilikuwa plain kuhusu suala la familia na ndoa. Makundi mengi ya kidini yaliipinga rasimu ile kwa kigezo hicho. Walipokuja kutengeneza rasimu nyingine ambayo ndiyo ilipitishwa na sasa inatumika kama katiba ya nchi hiyo, waliliweka suala la ndoa na familia very clear.
Katika Ibara ya 45 katiba ya Kenya inasema, nanukuu:
(1) The family is the natural and fundamental unit of society and the necessary basis of social order, and shall enjoy the recognition and protection of the state
(2) Every adult has the right to marry a person of the opposite sex, based on the free consent of the parties.

Kwa mantiki hiyo mkuu, suala la ndoa na familia kwenye katiba, sio la kuacha tu hewani kwani baadae litaleta migongano.

Labda niombe mawazo ya watu wengine humu kina Mzee Mwanakijiji EMT, gfsonwin, Kongosho,
Roullete na wanaJF wengine wote...
Mkuu Painlife in Tanzania, hebo toa pia mawazo yako hapa...
 
Last edited by a moderator:
Kwani unadhani kila kitu kitaingizwa kwenye katiba? Maana ya ndoa ni nini kwa utaratibu/sheria/miongozo ya sasa?Muunganiko wa watu wawilie...wenye umri....jinsi tofauti. Kwa maana nyingine kuna msisitizo wa umri na jinsi (sio jinsia)

Back
Top Bottom